Posts

Showing posts from March, 2014

SUPPORT MAX SHIMBA MINISTRIES

ASALIMISHA MANYANGA YA UCHAWI BAADA YA KUTEKWA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA

Image
Ni maajabu makubwa ambayo Mungu anaendelea kufanya kupitia huduma ya Ufufuo na Uzima mkoani Arusha chini ya Mch. Frank Andrew; ambapo wiki hii kumetokea na jambo ambalo liliwaacha katika mshangao watu wengi walioudhuria ibada kanisani hapo. Tukio hilo la aina yake lilimjumuisha dada aitwaye kwa jina la Lightness ambaye alisalimisha mambo yake ya uchawi ambayo kwa hayo alitesa maisha ya watu wengi. Mikoba hiyo ni pamoja na vyungu, ungo, shanga, pete, makombe na maji ya maiti. Mapema wiki hii, mchawi mwingine alikamatwa usiku wa saa sita akiwa anawanga hali ya uchi wa mnyama; Mchawi huyo aliyefahamika kwa jina la Saidi alidai kukamatwa na nguvu za Mungu kutokana na watu waliokuwa mkesha usiku wa siku hiyo. Pichani ni Lightness na manyanga yake baada ya kuchomwa moto yote. Mungu ni mkuu na njia za kutoka mautini zina yeye. imeandaliwa na Information Ministry

NANI ALIKUWA MUISLAM WA KWANZA?

UTATA MKUBWA KATIKA KORAN NANI ALIKUWA MUISLAM WA KWANZA?
Ndugu zanguni: Leo ningependa tuangalie kiundani kidogo kuhusu, “nani alikuwa Muislam wa Kwanza” kutokana na Koran iliyo teremshwa na Allah. Kwa mujibu wa vifungu kadhaa katika Quran, Muhammad ni Muislamu kwanza : Quran 6: 14. Sema: Je, nimchukue rafiki mlinzi asiye kuwa Mwenyezi Mungu, ambaye ndiye Muumba mbingu na ardhi, naye ndiye anaye lisha wala halishwi? Sema: Mimi nimeamrishwa niwe wa kwanza wa wenye kusilimu. Na wala kabisa usiwe miongoni wa washirikina. 161. Sema: Kwa hakika mimi Mola wangu Mlezi ameniongoa kwenye Njia Iliyo Nyooka, Dini iliyo sawa kabisa, ambayo ndiyo mila ya Ibrahim aliye kuwa mwongofu, wala hakuwa miongoni mwa washirikina.162. Sema: Hakika Sala yangu, na ibada zangu, na uhai wangu, na kufa kwangu, ni kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote.163. Hana mshirika wake. Na hayo ndiyo niliyo amrishwa, na mimi ni wa kwanza wa Waislamu. (Wa ' Ana ' Awwalu Al- Muslimin ). S. 6:161-163
Sema …

JEHANAMU IPO NA INASUBIRI WATENDA DHAMBI

Image
Huko motoni Jehanum kukoje? Mwanangu, kunatisha, nashindwa hata nikueleze vipi unielewe. Moto wa milele, hatukuwekewa wanadamu bali shetani na malaika zake (MATHAYO 25:41). Kama utakwenda huko baada ya kusoma “note” hii, itakuwa ni kwa sababu ya kiburi chako tu, na kushupaza shingo yako na kukataa kulitendea kazi Neno hili (MITHALI 29:1). Moto wa Jehanum siyo mahali pa mchezo kama walimu wa uongo wanavyofundisha. Walimu hawa huwafariji watu na kusema eti mtu ataunguzwa na moto na kutoweshwa na kupotea na kuangamizwa kabisa na ndiyo mwisho wake. Wanatumia maandiko kama MATHAYO 10:28 (kuangamizwa) na YOHANA 3:16 (Kupotea). Kuangamia katika maandiko hakumaanishi kumalizika kabisa, bali kukabiliwa na mauti (ESTA 4:16). Mauti ya watu walioko motoni, ni mauti ya milele, kama tutakavyoona hivi punde. Kondoo akipotea, haimaanishi hayupo kabisa ila ametengwa na mchungaji (ISAYA 57:1-3). Biblia inaeleza waziwazi kwamba mtu anapokufa, sekunde ileile ya kufa kwake anakabiliwa na hukumu. Tunasoma…

Jesus is:.

OMNIPOTENCE1) MATTHEW 11:27 (KJV) All things are delivered unto me of my Father: . . . {cf. Jn 16:15, 17:10}
2) MATTHEW 28:18 . . . All power is given unto me in heaven and in earth.
3) REVELATION 3:7 . . . These things saith he that is holy, . . ., he that hath the key of David, he that openeth, and no man shutteth; and shutteth, and no man openeth;

OMNISCIENCEJesus often says things that show He has extraordinary knowledge, and that are consistent with His being omniscient, which we know He was in His Divine Nature, being God. The following Scriptures about Jesus strongly suggest it:
1) JOHN 16:30 Now are we sure that thou knowest all things, and needest not that any man should ask thee: by this we believe that thou camest forth from God.
2) JOHN 18:4 Jesus therefore, knowing all things that should come upon him, . . .
3) JOHN 21:17 . . . Lord, thou knowest all things; thou knowest that I love thee . . .
4) COLOSSIANS 2:3 In whom are hid all the treasures of wisdom and knowledge.

OMNIPRESEN…

MCHAWI ANASWA KANISANI HUKO ARUSHA TAZAMA PICHA MBALI MBALI HAPA

Image

Is Jesus All-powerful and Eternal?

Jesus being the Son of God implies that He is equal with God the Father. The Apostle John stated that Jesus “said that God was His Father, making Himself equal with God” (John 5:18). Jesus said, “I and My Father are one” (John 10:30). Fully understanding this truth would be impossible with our finite minds, but God’s Word reveals a great deal about this topic.
For instance, the Bible states that the Father is the Creator (Ephesians 3:9), and it also declares God’s powerful and eternal attributes (Revelation 11:17; Psalm 90:2). Then in Colossians 1:15–16, Paul writes about Jesus being the image of God, and hence, the Creator. Now, in verse 17, Paul continues to describe Jesus and His power.
Since Jesus is the Creator, He “is before all things, and in Him all things consist.” As Paul wrote in Colossians 1:16, Jesus created all things—the invisible and visible things. Therefore, Jesus is before all things in existence, and in His power He upholds all things. In other words, Jesus is ete…

Mtume. Rashid Abubakar alionya kanisa juu ya kukimbilia Nigeria.

Image
Mtume Peter Rashid Abubakar ambaye ndiye mwanzilishi wa huduma ya Glory to God Miracle Center(House of Prayer For All Nations) Tanzania jijini Dar es Salaam amelionya kanisa  akiliambia umetokea ujinga wa kutumiana masage zikisema meseji hii tumia watu 12 au 20 imetoka kwa Tb. Joshua!!!???  Alihoji Tb. Joshua yeye ni nani!!? Mbona ni mtumishi wa MUNGU kama mimi tu!  Akiongea huku akinukuliwa na Maisha ya ushindi blog alisema  watu wengi kanisani hapa kwangu wanafunguliwa wasio na watoto; Kazi; etc wanapata kwa jina la YESU.  Alisema nimeombea wangapi waliokwenda kwake Tb. Joshua ambao hawakuponywa au kufunguliwa na niliwaombea na YESU KRISTO akawaponya.   Aliuliza je YESU wa Tb. Joshua na mimi ni tofauti? YESU KRISTO mwenyewe kwa kauli yake anasema  YEYE HABADILIKI. YEYENI  JANA NA LEO NA HATA MILELE.  Alisema huo ni USHAMBA WA KIROHO AU NI UKIRO WA KIROHO(UKIRO=U-Ukosefu wa K-Kinga wa R- Roho) ni sawa na UKIMWI= Ukosefu wa kinga za mwilini).  Alisema Yeremia 17:5-6. Amelaaniwa mtu yule amte…

JE, ALLAH NI MNYONYA DAMU?

Ungana nami katika somo letu la leo na uone siri kubwa ambayo Allahameifanya na kuificha kwa karne kadhaa.
Ndugu zanguni.
Leo ningependa tusome kuhusu Dhabihu ya Damu ambayo Waislam huwa wanaifanya kwa ungu
wao kwa kutumia mtego wa Halal wakati wakichinja Wanyama. Uchinjaji wa "Halal" ni ibada ambayo wanaifanya kila wachinjapo Mnyamahuku wakimwomba mungu wao ajulikanaye kwa jina la Allah. Soma Alameye Tabataba i, p 177.
Allah anapenda kunywa damu za Watu na Wanyama. Soma "Blood of Allah Chapter 5". Ndio maana Allah anadai kuwa uchinjaji wa Wanyama ni kwa Waislam pekee, kumbe Allah anataka damu ya Mnyama ifanyiwe dhabihu ili aweze kuinywa.
Zaidi ya hapo, Waislam ndio wenye tabia na utamaduni wa kuchinja watu kwa madai kuwa eti, umeikashif dini ya Allah na Mtume wake, kumbe huu ni mtego ule ule wa Allah wa kutaka kunywa damu za Watu na Wanyama; soma Shaykh al Kulayni, al-kafi v1 p 149.
Mkristo unapo nunua nyama kutoka maduka ya Kiislam ambayo ni halal, basi elewa kuwa
una…

MAOMBI YA KUSAMBARATISHA UCHAWI NA NGUVU ZA GIZA

Baba katika Jina la Yesu. 

Laana zote nilizo tupiwa na wabaya wangu zimeshindwa kwa jina la Yesu na nazivunja na kuzisambaratisha kwa Damu ya Yesu. Mshindwe wote mnao tuma laana kwangu katika Jina la La Yesu. 

Nawavunja na kuwaharibu na kuwakatakata Wachawi wote kwa damu ya Yesu. 

Nasambaratisha kila neno la uovu lililosemwa juu yangu na famila yangu katika jina la Yesu.

Naharibu na kuisambaratisha madhabahu yenu mliyo fanyia kafara kwa damu ya Yesu. 

Navunjavunja na kubomoa kila uovu na uchawi mnaonifanyia katika jina la Yesu.

Nairudisha misukule yote na majini yote yawarudie nyie na kuwalipa dhambi zote mnazo fanya katika jina la Yesu. 

Naharibu kila uchawi, kila urogi, kila ndumba kila aina ya uovu ambao mnaufanya ili uniumize mimi na familia yangu katika jina la Yesu. 

Nawateketeza kupitia damu ya Yesu Wachawi wote walio tumiwa kunitumia uchawi katika jina la Yesu.

Nawateketeza na kuwaharibu majini yote yaliyo tumwa kuja kufanya kazi hiyo waliyo tumwa na Wachawi katika jina la Yesu.

Nawatek…