Posts

Showing posts from January, 2014

SUPPORT MAX SHIMBA MINISTRIES

Agnostiki ni nini?

Agnostiki ni mtazamo kuwa uwepo wa Mungu si kitu kisichoweza kujulikana au kuthibitishwa. Neno “agnostiki” kimsingi lamaanisha “bila elimu/maarifa.” Uagnostiki ni mtindo wa ukanaji Mungu. Ukanaji Mungu kuwa Mungu haishi- msimamo ambao hauwezi kuthibitishwa. Ukanaji Mungu wapinga kwamba uwepo wa Mungu hauwezi thibitishwa au siothibitishwa, kuwa kamwe hauwezi kujua kuwa kuna Mungu au hayupo. Katika hali hii, ukanaji Mungu huu uu kweli. Uwepo wa Mungu hauwezi kuthibitishwa au kukanwa kwa kubahatisha.

Bibilia inatuambia ya kwamba lazima tukubali kwa imani kuwa Mungu yupo. Waebrania 11:6 yasema bila imani “Lakini pasipo imani haiwezekani kumpendaza; kwa maana mtu amwendeaye Mungu lazima aamini kwamba yeye yuko, na kwamba huwapa thawabu wale wamfuatao.” Mungu ni roho (Yohana 4:24 kwa hivyo hawezi oonekana au kuguzika. Ila tu Mungu aamue kujidhihirisha Yeye mwenyewe, katika hisia zetu hawezi kuonekana (Warumi 1: 20). Bibilia yatangaza kwamba uwepo wa Mungu unaweza oonekana vizuri sana katika …

UDHAIFU WA ALLAH NA SABABU ZINAZO MFANYA ALLAH KUTO KUWA AKBAR.

Ndugu Wasomaji,

Katika somo letu la leo, ningependa tusoma mambo kadhaa ambayo Allah wa Uislam hana uwezo na mamlaka juu yake. 

Waislam wanatuambia kuwa Uislam ni dini ya Allah ambaye hana uwezo wa kufanya yafuatayo:

Allah hana uwezo wa kuishi ndani ya binadamu.

Allah hana uwezo wa kuzungumza na kusikia lugha yeyote ile zaidi ya Kiarabu.
Allah hasikii na hajibu maombi ambayo hayakuombwa Kiarabu.

Allah hawezi kusikia maombi ambayo yanaombwa bila ya kuangalia Makkah.

Allah hana uwezo wa kumzuia Shetani kuishi ndani ya Pua yako wakati umelala.

Allah hana uwezo wa kumkataza Shetani asikojoe kwenye masikio yako unapo pitiwa na usingizi.

Allah hana uwezo wa kutetea vitabu vyake, ingawa alidai anaweza.

Allah hawezi kusikia maombi yako kama kuna Mwanamke au Mbwa au Punda karibu na sehemu unayo fanyia maombi.

Allah hawezi kutetea dini yake ya Kiislam na anahitaji msaada wa Waislam kuua na kutesa wale wote ambao wanaukataa Uislam. Allah sio Akbar kama anavyo dai.

Allah hapendi watu isipokuwa wale ambao ni …

KUTAJWA KWA YESU KRISTO NI MUNGU KATIKA MAANDIKO.

Ningependa leo tujifunze na au tuangalie, ni wapi katika Biblia Yesu Kristo katajwa kuwa yeye ni Mungu. Karibu na Mungu akubariki sana. 

Katika ( 1YOHANA. 5:20 ) “Nasi twajua kuwa Mwana wa Mungu amekwisha kuja,naye ametupa akili kwamba tumjue yeye aliye wa kweli,nasi tumo ndani yake yeye aliye wa kweli.,yaani ndani ya Mwana wake Yesu Kristo. Huyu ndiye MUNGU WA KWELI NAUZIMA WA MILELE”.. Pia katika ( YOHANA 20:26-29 ) “basi,baada ya siku nane,wanafunzi wake walikuwamo ndani tena,na Tomaso pamoja nao.Akaja Yesu na milango ilikuwa imefungwa,akasimama katikati,akasema,Amani iwe kwenu.Kisha akamwambia Tomasolete hapa kidole chako;uitazame mikono yangu;ulete na mkono wako uutie ubavuni mwangu;wala usiwe asiyeamini;bali aaminiye.Tomaso akajibu akamwambia,BWANA WANGU NA MUNGU WANGU..Yesu akamwambia,wewe kwa kuwa umeniona umesadiki;wa heri wale wasioona wakasadiki”.

YESU KRISTO MUNGU MKUU, ( 1TITO 2:13 ) “Tukilitazamia tumaini lenye mafunuo ya KRISTO YESU MUNGU MKUU NA MWOKOZI WETU”.. YESU NI M…

SABABU SABA ZA KUTHIBITISHA KUWA YESU NI MUNGU.

1.YESU NI MUUMBAJI.

Sifa ya kuumba niya Mungu peke yake ( YOHANA 1:3,14 ) “vyote vilifanyika kwa huyo;wala pasipo yeye hakukufanyika chochote kilichofanyika.Naye Neno alifanyika mwili;nasi tukauona utukufu wake kama utukufu wa Mwana pekee atokaye kwa Baba,amejaa neema na kweli”.Yesu aitwa Neno la Mungu (UFUNUO 19:13) “Kwahiyo Neno ni Mungu “(YOHANA 1:1).. na huyo ndiye aliyevifanya kuwako vitu vyote.Aliyeshuka kutoka juu na kufanyika mwili ni Yesu pekee aliyezaliwa na bikira Mariamu bila mbegu ya kiume kama inavyotokea kwa wanadamu wengine..Katika yeye vtu vyote viliumbwa (WAKOLOSAI 1:13-16) vinavyoonekana na visivyoonekana;vya mbinguni na vya duniani.Maandiko yako wazi kabisa kwa mtu mwenye Roho wa Mungu anaelewa kwa urahisi.

2.YESU ALIKUWEPO KABLA YA VITU VYOTE KUWEPO DUNIANI.

( WAKOLOSAI 1:17 ) “Naye amekuwako kabla ya vitu vyote;na vitu vyote hushikamana katika yeye”.( MIKA 5:2 ) “Basi,wewe Bethlehemu,Efrata,uliyemdogo kuwa miongoni mwa maelfu za Yuda;kutoka kwako wewe atanitokea mmo…

YESU ALIPOKUWA DUNIANI ALIKUWA EMANUELI (MUNGU PAMOJA NA WANADAMU).

( MATHAYO 1:23-25 ) “Tazama; bikra atachukua mimba; naye atazaa mwana;nao watamwita jina lake Emanueli; yaani ,Mungu pamoja nasi”.Tabia ya Yesu inaonyesha kuwa kama mwanadamu,kuzaliwa kwake kwa uwezo wa Roho mtakatifu.Hapa tunaona jinsi alivyo na uwezo wa tofauti na wanadamu akiwa anafahamu mambo yote kabla akiwa duniani..Yeye pia ajua yote yaliyomo ndani ya moyo wa mwanadamu (YOHANA 6:64,YOHANA 13:1,YOHANA 13:11,YOHANA 18:4,YOHANA 19:28).Tena Yesu alitabiri kabla jambo kutokea,pia alijitabiria mwenyewe yatakayomtokea mbele (MARKO 8:31,LUKA 9:22,LUKA 12:50,LUKA 22:37,LIKA 24:7-26,YOHANA 3:14,YOHANA 10:17-18,YOHANA 7:33,YOHANA 13:33,YOHANA 14:28,YOHANA 17:11,YOHANA 16:5,10,16,18 ).

Yesu aliabudiwa na kusujudiwa akiwa hapa duniani,Sifa ya kuabudiwa na kusujudiwa ni ya Mungu pekee hivyo Yesu ni Mungu.(MATHAYO 4:10).

Hata malaika wote wanamsujudia Yesu (UFUNUO 22:8-9,WAEBRANIA 1;6).
Ndiyo maana Yesu alisujudiwa akiwa mtoto mchanga alipozaliwa (MATHAYO 2:11,MATHAYO 14:33<LUKA 24;52).
Hata p…

YESU MWALIMU WA MFANO

Yesu Kristo, Mwalimu wetu, katika mstari huu, anawauliza wanafunzi wake, “Wala hakuna mmoja wenu aniulizaye, Unakwenda wapi?“. Siyo kwamba wanafunzi wake walikuwa hawajauliza kabisa swali hili. Petro aliuliza swali hili katika YOHANA 13:36, na Tomaso aliuliza swali lililokuwa na maana hiyo katika YOHANA 14:5. Hata hivyo, baada ya wanafunzi hawa kuuliza swali hili mara mbili, hawakumwuliza tena. 
Yesu alitaka wazidi kumwuliza, maana aliwaona bado hawajaelewa. Hapa, Yesu anatoa mfano kwa Walimu wote wa biblia. Furaha ya Mwalimu yeyote wa Biblia anayefuata mfano wa Yesu, ni kuona wanafunzi wake wanaelewa, na kuyatendea kazi yale wanayofundishwa. Mwalimu wa Biblia, hataridhika kuona anafundisha tu wakati wanafunzi wake hawamwelewi. Furaha yake itakuwa kuona wanafunzi wake wanauliza maswali tena na tena ili wapewe ufafanuzi kwa njia iliyo rahisi zaidi mapaka waelewe. 
Mwalimu wa Biblia anayefuata mfano wa Yesu, hatachoshwa na maswali au kuyachukia, ikiwa wanafunzi hao watakuwa wanauliza masw…

TABIA NA KAZI ZA ROHO MTAKATIFU

Katika mistari hii, tunajifunza kuhusu tabia na kazi za Roho Mtakatifu. Ingawa Roho Mtakatifu ana tabia na kazi nyingi zaidi kuliko zile zilizoorodheshwa hapa, hata hivyo, katika mistari hii, tunajifunza tabia na kazi zake za msingi. Zifuatazo ni kazi za Roho Mtakatifu zinazotajwa katika mistari hii:-

KUUHAKIKISHIA ULIMWENGU KWA HABARI YA DHAMBI: – 
Watu wote ambao hawamwamini Yesu, wanafanya dhambi (MST. 9). Watu wengi ingawa hawamwamini Yesu, hujihesabia haki kutokana na amtendo yao kama Farisayo yule katika LUKA 18:9-14. Watu wengi hujihesabia haki na kujiona kwamba hawana dhambi, kwa kuwa wanashika taratibu zote za dini zao, kama walivyofundishwa (MATENDO 26:4-5; WAGALATIA 1:14). Kutokana na msingi huu, Sauli alijihesabia haki na kuona kwamba yeyote ambaye alikuwa hafuati taratibu zote za dini yake, ndiye mwenye dhambi na alifaa hata kuuawa. Aliposikia sauti ya Yesu ikisema, Sauli! Sauli! Mbona waniudhi? Alishangaa, maana aliona anatenda haki yote. Tukitoka na kwenda kuwahubiria wat…

Allah is not Akbar

Muslims tell us that Islam is the religion of... Allah cannot.

Allah cannot enter into his creation

Allah cannot speak any language other than Arabic

Allah cannot hear prayers in any other language than Arabic

Allah cannot hear prayers not said facing Mecca 

Allah cannot stop Satan from inhabiting your nose while you're sleeping

Allah cannot stop Satan from peeing in your ear when you oversleep

Allah cannot protect his books, even though he said he would

Allah cannot hear your prayers if a woman, a dog or a donkey is within a few feet of you

Allah's being cannot be too difficult for a Muslim to understand

Allah cannot defend his own religion and needs Muslims to torture and kill those who argue against Islam or criticize it and its prophet who is dead and no longer needs protection

Allah cannot love you unless you are his slave

Allah cannot defend his prophets against defenseless Jewish widows

Allah cannot protect Islam from powerful apostles like Paul, who Muslims say created the world…

YESU ANAKIRI KWA MDOMO WAKE KUWA YEYE NI MUNGU.

Ndiguzanguni, leo nawajibu Waislam kwa Mara nyingine tena kuwa, YESU NI MUNGU. Hii aya hapa chini katika kitabu cha Ufunuo ni ya Yesu mwenyewee akiongea na Yohana. Yesu anakiri kuwa yeye ni Mungu. Hebu tuisome kwanza:

Ufunuo 21: 6 Yesu Akaniambia, “Imekwisha kuwa. Mimi ni Alfa na Omega, Mwanzo na Mwisho. Yeye aonaye kiu nitampa kunywa kutoka katika chemchemi ya maji ya uzima bila gharama yo yote. 7 Yeye atakayeshinda atayarithi haya yote, Nami nitakuwa Mungu wake, naye atakuwa mwanangu.

Mara nyingi kumekuwa na mtanashi kutoka Wasialm kuwa eti Yesu hakuwai sema yeye ni Mungu. Mara zote wamekuwa wakidai kuwa, tuwaletee aya ambayo Yesu anasema yeye ni Mungu. Ingawa, Biblia imewajibu kuwa Yesu ni Mungu kutoka sehemu mbalimbali, lakini wamekuwa wabishi na kung'ang'ania waletewe aya, ili wabatizwe na kuwa Wakristo. Kwasababu Biblia imekamilika na haina shaka ndani yake. Leo Biblia inawajibu tena kuwa Yesu ni Mungu.

Aya ya 7 inasema kuwa, NUKUU: [Yeye atakayeshinda atayarithi haya yote,…