Posts

Showing posts from December, 2013

SUPPORT MAX SHIMBA MINISTRIES

ETI ALLAH AMEKUBALI KUTOA USHAIDI KWA VIUMBE VYAKE

Je, nani atakuwa Hakimu wakati Allah anatoa Ushaidi?

NDUGU WASOMAJI, Hivi Allah anaweza kuwa shaidi wakati yeye ndie anadai kuwa alitoa Utume kwa Muhammad? Hivi Mungu anaweza kwenda kutoa Ushaidi kwa viumbe vyake? Nani atakuwa Hakimu wa hiyo Kesi?

Katika hii aya hapa chini, mhukumiwa ni Allah aliyedai katoa Utume kwa Muhammad, kivipi na tokea lini Mhukumiwa akawa shaidi katika Kesi yake ya jinai?

Quran 4:72 Surat Annisa inasema "wema uliokufikia unatoka kwa Mwenyenzi Mungu na baya lililokufikia linatoka nafsini mwako nasi tumekupeleka kwa watu kuwa Mtume na Mwenyenzi Mungu ni shahid wa kutosha wala hapaitajiwa shaid mwingine ila yeye"

Allah anadai kuwa yeye ndie aliye mpa Utume Muhammad na hapo hapo ALLAH anajihami kuwa mkibisha na au kuwa na shaka na utume wa Muhammad basi yeye ni Shaidi yake. Hivi, MFANO: Rais akimpa Mtu uwaziri, umesha wai sikia Rais anajihami kwa kusema kama wakikukataa mimi nitakuwa Shaidi yako? Kwani Allah ana mshindani mpaka atoe maneno ya kujihami?…

IS MUHAMMAD THE SPIRIT OF TRUTH?

Today I will answer Muhammadans with biblical proof that Muhammad was not the Spirit of Truth as promised to us by Jesus our Lord and Savior.

Many times Muslims asked, "Who is the Spirit of Truth Jesus was making the Prophecy about in John 16:12-14!"

I was just asking Muslims here the other day who they think the Holy Spirit is and they said it was "the angel" Jibril.

John 16:13 reads, "When the Spirit of truth comes, He will guide you into all truth. He will not speak on His own but will tell you what He has heard. He will tell you about the future."

Many Muslims claims that Jesus is referring to Muhammad, inter-alia, other claims that The Spirit is Jibril, in contrast and as fully exhibited in John 16:13 Jesus is talking about the Holy Spirit. We know this because we can read the verses ourselves to see if, in fact, Jesus is talking about someone other than the Holy Spirit

When one takes the time to do his homework and read the context of John 16:5-15. The m…

MCHAWI ANASWA KATIKA MKUTANO WA UFUFUO NA UZIMA MOROGORO

Image
Ikiwa ni siku ya tatu ya mkutano wa ufufuo na uzima unaoendelea katika viwanja vya vya shule ya sekondari ya morogoro mchawi mmoja aliyejulikana kwa jina la Fatuma amekamatwa katika mkutano huo akiwa yuko katika shughuli zake za kila siku za kichawi.
Dada huyo aliyekamatwa na Nguvu za Mungu alielezea akasema alikuwa na wenzake ambao walitumwa na bosi wao ambaye ni mchawi na mganga wa kienyeji maarufu kutoka mjini Bagamoyo wilaya ya pwani kuja katika mji wa Morogoro kuchukua miili ya watu waliokufa katika nyumba za kuhifadhia maiti za hospitali(mochuari) kwa ajili ya kitoweo.
Akizungumza alisema yeye na wenzake walipoteana walipofika karibu na hospitali ya rufaa ya mji wa Morogoro ambapo ni eneo la jirani na sehemu mkutano unapofanyika, alipofika maeneo hayo alisikia nguvu inamvuta kwa nguvu na kumpeleka asipotaka yeye ndipo alipojikuta ametua katika viwanja shule ya sekondari ya Morogoro ambapo ndipo mkutano unapofanyika Dada huyo aliyeonekana kuwa na wasi wasi alisema tuli…

MISUKULE WAENDELEA KURUDISHWA KATIKA MKUTANO WA UFUFUO NA UZIMA

Image
Ikiwa ni siku ya tatu ya mkutano wa Ufufuo na Uzima mjini Morogoro  maelfu ya watu waliendelea kuhudhuria huku uweza wa Mungu wa namn aya ajabu ukiendelea kudhihirishwa kupitia mchungaji Josephat Gwajima Mchungaji Josephat Gwajima alifundisha somo la NYOTA YAKO INATUMIWA NA MTU. Akifundisha alisema kila mtu anayo nyota katika maisha yake au kipawa ambacho Mungu ameweka ndani yake ili kupitia hiyo aweze kufanikiwa

Lakini wachawi na waganga wa kienyeji wanakua na uwezo wa kuichukua nyota ya mtu na kuitumia kwaajili ya kazi zao binafsi, akielezea mtu aliyechukuliwa nyota ana dalili zipi, mchungaji Josephat Gwajima alisema unakuta kwa mfano mtoto alikua ana akili darasani lakini  baada ya kuchukuliwa nyota yake unakuta ule uwezo wote unaondoka na anakua hawezi tena kufanya vile vitu alivyokua anafanya mwanzoni.

Baada ya kufundisha mchungaji Josephat gwajima alianza kuomba maombi ya kuwarudishia watu nyota zao na baada ya hapo aliwarudisha wale waliokua wamechukuliwa msukule.


MIKATABA INAYOTOKANA NA KAFARA Tar. 2.9.2012

Na Mchungaji Kiongozi Josephat Gwajima
Utangulizi: Wakristo wengi huwa hawazungumzii neno kafara kwasababu wanahisi kuwa ni la waganga wa kienyeji, lakini hili neno limeandikwa kwenye biblia mara nyingi sana. Hii ni kuonyesha kuwa  wapo watu wanatoa kafara.
KAFARA KWENYE BIBLIA: Baada ya Yoshua na wana wa Israeli kuangusha ukuta wa Yeriko, Yoshua aliweka agano kuwa atakayeamua kujenga ukuta ataanza kwa kufiwa na mwanawe wa kwanza na akasema akimaliza atafiwa na mwanae wa pili.Yoshua 6:20-27. Lakini miaka mingi baadaye mtu mmoja akatoa kafara ya wanawe ili aweze kujenga ngome ya Yeriko kwa upya, Kumbe kafara yaweza kutolewa kwa ajili ya kujenga kitu duniani. Imeandikwa katika  1Wafalme 16:38.
2Wafalme 3:20-27, Hapa tunaona habari ya Huyu Mfalme ambaye baada ya kuona anashindwa vita dhidi ya wana wa Israeli, akaamua kumtoa kafara mwanaye na hilo jambo likawa hasira juu ya Israeli na kashinda vita. Kumbe kafara inaweza ikamwezesha mtu kushinda vita. Ukisoma maandiko haya kwa haraka hutoweza k…

NYOTA KIBIBLIA

Mchungaji Kiongozi: Josephat Gwajima 23.9.2012
UTANGULIZI: Huu ni mwendelezo wa somo la Nyota na Maisha mtu aliyonayo. Mathayo 2:1; Kama tulivyoona tangu mwanzo kuwa nyota ni kipawa, uweza, hatma au hali ya mtu ya baadaye. Tukaona nyota ya Yesu ilionekana kabla Yesu hajazaliwa na mamajusi wa mashariki walimwona kama Mfalme.
MAANA YA NYOTA: Kama tulivyooa sehemu ya kwanza kuwa nyota ni kiashiria cha rohoni, kinachoonesha mtu atakuwa nani baadaye, mafanikio ya mtu au hatma ya mtu. Viashiria hivi ndivyo vinavyoitwa nyota.
NYOTA KATIKA BIBLIA: Hesabu 24:14-17 Baraki alikuwa mfalme, na alipoona kuwa wanaisrael wanakuja ili kushambulia ufalme wake, akamtafuta Balaam amtabirie. Hayo ni maneno ya Balaamu aliyoona, Hivyo Balaamu alipoangalia taifa la Israel akaona nyota, kimsingi nyota ya mtu inaonyesha jinsi mtu atakavyokuwa baadaye. Hivyo balaamu aliweza kumuona Yesu tangu mwanzo na ndio maana mamajusi wa mashariki nao pia walimwona Yesu kama nyota.
Nyota yaweza kuonyesha kusudi la maisha ya mtu, n…

NYOTA YA MTU NA MAISHA ALIYONAYO

Na Mchungaji Josephat Gwajima 16.9.2012
Utangulizi: Biblia imeeleza kuhusu nyota ya Yesu ilivyoonekana  kutoka mashariki,(Mathayo2:1); Hii inadhihirisha wazi kuwa kila mtu ana nyota yake. Hivyo katika mfulilizo wa somo hili tutaona maana ya nyota, kazi ya nyota, nyota yaweza kufunikwa kichawi, madhara ya kuishi bila nyota, dalili za kuchukuliwa nyota, nyota yaweza kurudishwa na namna ya kutambua nyota yako. Hapa hatuzungumzii kuhusu kusoma nyota au utabiri wa nyota bali tunaangalia nyota kama ilivyo katika Biblia.
MAANA YA NYOTA: Nyota katika Biblia inawakilisha kipawa, hatma ya mtu, lengo lililomfanya Mungu akulete  hapa duniani na kusudi lako la maisha. Hivyo tunaposema nyota yako ipo au imechukuliwa maana yake hayo mambo yamechukuliwa au yapo. Kimsingi hakuna mtu asiye na maana tangu kuzaliwa kwake, kwasababu kila mtu aliye duniani amekuja kwa kusudi lake. Kuna tofauti kati ya elimu na nyota; elimu sio nyota lakini elimu yaweza kunoa nyota. Na si kwamba kujifunza kunaleta nyota bali nyo…

MIKATABA YA DAMU

Na Mchungaji Kiongozi: Josephat Gwajima. 9.9.2012
UTANGULIZI: Katika mfululizo wa masomo haya tayari tumekwisha kujifunza kuhusu kafara ya damu na tukaona pia kuhusu Kafara ya mwanakondoo ambaye ni Yesu kristo. Leo tunaangalia kuhusu mikataba inayoweza kusababishwa na damu iliyomwagika.
TABIA ZA DAMU KATIKA BIBLIA: Mwanzo 4:10; Adamu alikuwa na watoto wawili mmoja aliitwa Kaini na mwingine Habili; Kaini alipomuua Habili; Mungu akamwambia Kaini, Damu ya ndugu yako inanililia. Kumbe damu yaweza kulia na inaweza kuongea pia.
Kumbukumbu 12:23 Mungu anasema kuwa “…damu ni uhai”. Kumbe damu ina uhai; kwa namna hiyo kuna tabia kadhaa za damu: i)Damu ina sauti ii)Damu yaweza kulia iii)Damu inaleta laana Na ndio maana Mungu amekataza kula au kunywa damu, hii ni kwasababu hizi tatu Kumbukumbu7:27; Walawi 17:10,12
DAMU INA SAUTI (INANENA): Damu iliyomwagika chini inaweza kunena mema au yaweza kunena mabaya,damu inenayo mema ni ya Yesu peke yake, Waebrania 12:24 inasema, “na Yesu mjumbe wa agano jipya, na d…

KATIKA SIKU YA PILI YA MKUTANO MKUBWA WA KIHISTORIA TANGA NA MCHUNGAJI JOSEPHAT GWAJIMA

Image
WATU ZAIDI YA KUMI WATOA USHUHUDA WA KUOKOLEWA KUTOKA MSUKULENI
Katika siku ya pili ya Mkutano Mkubwa wa kutokea katika mkoa wa Tanga kumekuwa na matendo makuu na maajbu ambayo Mungu ameyatenda kupitia kwa Mchungaji Kiongozi Josephat Gwajima, wa Kanisa la Glory of Christ (T)  Church- Ufufuo na Uzima.
HALIMA ALLY Anatoa ushuhuda wake na kuelezea kuwa alikuwa amechukuliwa msukule na Bibi mmoja aitwaye  Nyatanga ambaye ni mchawi, na alikuwa amemuweka kwenye shimo kubwa jeusi. Halima aliendelea kuelezea akiwa na machungu sana huku akilia kutokana na mateso makali na mambo ya kikatili aliyoyaona huko msukuleni, aliuelezea uamti kuwa chakula alichokuwa anakula ni Pumba za mahindi na za mtama...na shughuli yake kubwa ilikuwa ni kutumikishwa mambo ya kichawi na kuwadhuru wanadamu.


UFUFUO NA UZIMA MEGA GOSPEL CRUSADE WITH SENIOR PASTOR JOSEPHAT GWAJIMA

Binti Aliye Angusha Meli ya Mv. Spice Aokolewa na Yesu katika Mkutano wa Ufufuo na Uzima Tanga

Image
BINTI AITWAYE THERESIA AMBAYE ALIKUWA ANATUMIKISHWA NA SHETANI AELEZEA JINSI ALIVYOSHIRIKI KATIKA KUIZAMISHA MELI YA MV SPICE HIGHLANDER KWA NJIA ZA KISHETANI.
Theresia ni binti aishiye Jijini Tanga na Mama yake mzazi, na siku hii ambayo alifunguliwa kutoka kuzimu kwa shetani alikuwa amekuja kwenye Mkutano wa Injili uliokuwa umeandaliwa na Kanisa la Ufufuo na Uzima Jijini Tanga na Mchungaji Kiongozi Josephat Gwajima.

Na baada ya Mchungaji Josephat Gwajima kuanza kuwaombea maelfu ya watu ambao walikuwa mkutanoni wengi walifunguliwa, na waliokuwa katika vifungo vya shetani, na  msukuleni walifunguliwa na kurejeshwa katika hali zao za kawaida.
ALIFIKAJE KUZIMU
Siku moja nilikuwa nimetumwa dukani na mama yangu mkubwa, wakati navuka barabara ghafula nikakutana na mtu ana kila kiungo katika mwili wale kikiwa kimoja kimoja , akajitambulisha kwa jina la Lucifer akanipa mkono ila nikakataa, akauchukua mkono wangu kwa nguvu akanikumbatia, nikajikuta chini ya bahari. Akaja mwenyewe  nikaogopa sana a…

Malaika Waliofanya Dhambi

Biblia inafundisha kwamba Mungu ni Roho na kwamba viumbe wake wa kwanza walikuwa roho. (Yohana 4:24; Waebrania 1:13, 14) Isitoshe, Biblia pia inataja kwamba kuna roho waovu. (1 Wakorintho 10:20, 21; Yakobo 2:19) Lakini haifundishi kwamba Mungu ndiye aliyewaumba roho waovu. Basi wao ni nani, na walitokea jinsi gani?

Katika Biblia tunasoma kuwa, kuna Malaika walitenda dhambi na kufukuzwa Mbiguni. Mungu mwenye upendo, alipowaumba viumbe wa roho, viumbe hawa, aliwaumba wakiwa na uhuru wa kuchagua ikiwa watatende mema au mabaya.

Roho wa kwanza kuasi na mwenye sifa mbaya zaidi alikuwa Lucifer ambaye anajulikana sasa kwa jina la Shetani.

Ni nini kilichomchochea Shetani kumwasi Mungu?
Shetani alianza kutamani ibada ambayo ilikuwa hasa ya Muumba-Mungu, kisha akajikweza kutokana na tamaa hiyo na kujifanya kuwa mungu. Isaya 14: 11Fahari yako yote imeshushwa mpaka kuzimu, pamoja na kelele ya vinubi vyako, mafunza yametanda chini yako na minyoo imekufunika. 12Tazama jinsi ulivyoanguka kutoka mbinguni,…

MAAJABU BINTI ASHUHUDIA KUIANGUSHA MELI YA MV SPICE MKUTANO WA GWAJIMA TANGA

Image
Soma habari hii kama ilivyoandikwa na mwandishi wa kanisa la Ufufuo aliyepo mkoani Tanga.
Ni binti aitwae Theresia (pichani akiwa amekumbatiana na mama yake) alichukuliwa na kuwekwa bahari ya Pacific. Pamoja na mambo yote jambo lililoshangaza watu ni kudai kuwa alihusika katika kuiangusha meli ya MV Spice.

akielezea jinsi alivyofanya binti huyo alisema kuwa walitumwa kutoka baharini na kufanya kazi hiyo. Akiwa na wenzake wanne kati yao yeye akiwa Master Mind, alisema kuwa aliishusha meli hadi kwenye kina kirefu na kukusanya damu za watu.

Binti huyo ambaye alikuwa anaongea lugha ya kingereza mara kwa mara, alisema kuwa pamoja na kuangusha meli hiyo alikuwa na uwezo wa ku control fahamu za watu jambo ambalo walilifanya kwa vijana wengi.

Kilio kilitanda katika familia yake baada ya Theresia kusema kuwa hajawahi kumuona mama yake tangu 2007. Na ya kwamba mama yake alikuwa akiishi kitu kingine na sio yeye.

WAISLAM LETENI AYA KUTOKA KORAN AU BIBLIA INAYOSEMA KUWA PAULO HAKUWA MTUME WA MUNGU.

Leo nimeamua kukata ngebe za Wafilisti kuhusu Mtume Paulo ambaye anawanyima usingizi kila siku Waislam na Allah wao. Paulo alikuwa Mtume wa Mungu, hebu tusome Biblia:

Wagalatia 1:1 Paulo, mtume, si mtume wa wanadamu aliyetumwa na mwanadamu, bali na Yesu Kristo na Mungu Baba aliyemfufua Yesu kutoka kwa wafu 

Biblia ipo wazi kabisaa, kuwa Paulo alitumwa na Mungu, wakati Muham-mad alitumwa na Jibril ambaye si Mungu. Koran inakiri kuwa Muham-mad alikutana na Jibril na hakuwai kukutana na au ongea na Mungu. Lakini tunasoma katika Biblia kuwa, Paulo alipewa utume na Mungu mwenyewee. 

Warumi 1:1 Paulo, mtumishi wa Kristo Yesu, ALIYEITWA KUWA MTUME na kutengwa kwa ajili ya Injili ya Mungu

Ningependa kuanzia leo, ieleweke kuwa Waislam wanafuata kanyaboya. Muham-mad hakuwai ongea na Mungu. Muham-mad hakutumwa na Mungu. Muham-mad ni Mtume Bandia asie na hili wale lile.

Mitume wote ambao tunawasoma katika Biblia, waliongea na Mungu moja kwa moja na bila ya kutumia msaada wa Malaika. Lakini Muham-mad a…

MTUME PAULO AENDA UARABUNI BAADA YA KUOKOKA

Kufuatana na kitabu cha Wagalatia, Mtume Paulo baada ya kuokoka alikwenda Uarabuni. Hebu tuisome Biblia kwa ushaidi yakinifu:

Wagalatia1: 17wala sikupanda kwenda Yerusalemu kwa hao waliokuwa mitume kabla 
yangu, bali nilikwenda mara moja Arabuni na kisha nikarudi Dameski.

Kwanini Mtume Paulo alikwenda Urabauni baada ya kuokoka?

Mtume Paulo alikwenda kufanya nini Uarabuni?

Ndugu Wasomaji, Ukumbi ni wenu kujadili.

Max Shimba Ministries