Posts

Showing posts from November, 2013

SUPPORT MAX SHIMBA MINISTRIES

Televangelist Paul Crouch, founder of TBN, dies at 79

Image
Source: LA Times

By Elaine Woo 

Paul Crouch, a pioneering televangelist who founded Trinity Broadcasting Network, the world’s largest Christian TV network, died today, according to the network's website. He was 79. 

The church reported in October that Crouch had fallen ill and was taken to a Dallas-area hospital while on a visit to a TBN facility in Colleyville, Texas. He had "heart and related health issues," the church said, and he was later returned to California for continued treatment. 

The son of a Missouri missionary, Crouch moved to California in the early 1960s to manage the movie and television unit of the Assemblies of God. A decade later, after receiving what he believed was a message from God, he began to buy television stations, cable channels and satellites and developed enough Christian programming to sustain a 24-hour network. 

By the mid-1980s, Orange County-based TBN was “the country’s most-watched religious network,” according to J. Gordon Melton and Jon R…

ALLAH NI MUONGO KUTOKANA NA BIBLIA NA KORAN

Je, Allah na Shetani ni yule yule mmoja?
Katika ujumbe wa leo, nitaweka ushaidi wa Kibiblia na Koran ambao unatuambia kuwa, Allah ambaye ndie mungu wa dini ya Kiislamu ni muongo.
Biblia inasema kuwa MUONGO ni yeyote yule anaye sema Yesu si Kristo na anaye mkana Baba(Jehovah) na Mwana (Yesu).
Hebu tusome kwanza Biblia: 1 Yohana 2:22-26; Je, mwongo ni nani? Mwongo ni yule anayekana kwamba Yesu si Kristo. Mtu huyo ndiye mpinga-Kristo, anayemkana Baba na Mwana. 23 Mtu anayemkana Mwana hawezi kumjua Baba; mtu anayemkiri Mwana anamjua na Baba pia. 24 Hakikisheni kwamba ujumbe mliosikia tangu mwanzo unadumu mioyoni mwenu. Ujumbe huo ukikaa mioyoni mwenu, ninyi pia mtadumu ndani ya Mwana na ndani ya Baba. 25 Na yeye ametuahidi uzima wa milele. 26 Ninawaandikia mambo haya kuhusu wale wanaojaribu kuwapo tosha.
Biblia inatufundisha kuwa, mwongo ni mtu yeyote yule anaye pinga kuwa Yesu si Kristo, zaidi ya hapo, Biblia inaendelea kutufundisha kuwa mtu anaye mkana Yesu hawezi kumjua Baba yake. Kumbe ndi…

YESU HAKUWA MUISLAM

USHAIDI WA KIBIBLIA NA KORAN
Waumini wa dini ya Kiislam wamekuwa na tabia ya kuseka kuwa, eti, Yesu alikuwa ni Muislam. Madai haya ya Waislam yamekuwa yakisemwa katika mihadhara yao ya kidini bila ya kuwa na ushaidi yakinifu kusaidia madai yao. Leo nitajibu madai haya kwa kutumia Biblia na Koran kama ifuatavyo:
YESU HAKUWAI SEMA SHAHADA Kufuatana na sharia za Kiislam, ili mtu awe Muislam lazima aseme na au afanya shahada. Yesu hakusema SHAHADA (La ilaha illallah)na hakuna ushaidi wa Kibiblia au Koran unao sema kuwa Yesu alisema SHAHADA. Hivyo basi, Yesu hakuwa Muislam.
YESU HAKUWAI KUMWABUDU ALLAH Yesu hakuwai kuomba na au kumwabudu “Allah”, lakini kutokana na Biblia, Yesu aliomba kwa Baba yake, Yohana 17:1Maneno hayo aliyasema Yesu; akainua macho yake kuelekea mbinguni, akasema, Baba, saa imekwisha kufika. Mtukuze Mwanao, ili Mwana wako naye akutukuze wewe. Koran na Uislam unakiri kuwa Allah si Baba na hakuna hata aya moja inayo mwita Allah Baba. Yesu hakuwa Muislam.
YESU HAKUWAI KUOMBA H…

Mkutano wa Mchungaji Josephat Gwajima umevunja rekodi ya mahudhurio katika mkoa wa Tanga

Image
Mkutano ulioanza jana chini ya kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na mchungaji Josephat Gwajima umevunja rekodi ya mahudhurio katika mkoa wa Tanga baada ya maelfu ya watu kukusanyika katika uwanja wa Tangamano kunakofanyika mkutano huo na kusababisha uwanja huo kuonekana mdogo. Kati ya vitu vilivyovutia macho ya wengi ni mahudhurio ya watu kutoka dini tofauti waliofika katika mkutano huo.
Angalia baadhi ya picha mambo yalivyokuwa hapo jana.UTATA KATIKA UUMBAJI, ALLAH KAUMBA KILA KITU KATIKA JOZI (PAIR):

Allah wa dini ya Kiislamu amekuwa na tabia ya kuchanganya mambo, jambo ambalo linafanya wataalam wa mambo ya dini kujiuliza maswali ambayo yanakosa majibu kutoka kwa Allah.

Katika somo letu la leo, Allah anasema kuwa, aliumba kila kitu katika “JOZI” (Pair). 

Quran 51:49. Na katika kila kitu tumeumba kwa jozi ili mzingatie. 

Allah anadai kuwa kila kitu amekiumba kwa jinsia mbili, jinsia ya kiume na jinsia ya kike kama alivyo sema kwenye aya hapo juu.

Hebu tumwangalie binadamu, je, kuna jinsia mbili za kiini cha damu yako (blood cell). Kufuatana na madai ya aya hapo juu, Allah anasema kuwa hata kiini cha damu yako kipo kwa jinsia mbili. Hivi, kweli Allah aliumba? Mbona anaonyesha upungufu wa hekima na uelewo wa sayansi? Unaweza kusema kuwa, labda Max Shimba anamsingizia Allah au labda Max Shimba ameshindwa kuielewa hiyo aya, kwasababu ya kushindwa kuisoma katika lugha yake ya asili, nikimaanisha Kiarabu. Endelea kusoma Koran na tuone kama kweli ni makosa ya kusoma na kuelewa au ni Allah mwe…

Jesus Christ is the Answer

Jesus Christ is the Answer By Micah Yoder; 11/11/2004 This world is full of problems of which people are desperate to find solutions. What few realize, however, is that the answer is right under our noses! The God who created the universe has a Name by which anything is possible! Look at how Paul describes Christ's position:
For by him [Jesus] all things were created, in the heavens and on the earth, things visible and things invisible, whether thrones or dominions or principalities or powers; all things have been created through him, and for him. He is before all things, and in him all things are held together. He is the head of the body, the assembly, who is the beginning, the firstborn from the dead; that in all things he might have the preeminence. For all the fullness was pleased to dwell in him; and through him to reconcile all things to himself, by him, whether things on the earth, or things in the heavens, having made peace through the blood of his cross. (Colossians 1:16…

NINI MAANA YA KUUMBWA KWA MFANO WA MUNGU?

Mungu ni Roho. Je wewe ni nani?

Katika somo hili la uumbaji wa binadamu, nitajibu hoja na maswali mbali mbali ambayo yanaulizwa zaidi na waumini wa dini ya Kiislam katika Mihadhara mbalimbali ya kidini, kupitia wahadhiri wao wa Dini, Waislamu wamekuwa wakipinga kuwa Mungu hana Mfano kama ilivyo andikwa katika kitabu cha Mwanzo Sura ya Kwanza na aya ya 26.
Ndugu msomaji, nakusihi ufuatilie somo hili kwa makini ili ujue ukweli kuhusu kuumbwa kwa Binadamu kwa Mfano wa Mungu na nini maana yake:

Katika siku ya mwisho ya uumbaji, Mungu alisema, "Na tufanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu" (Mwanzo 1:26). Mungu alimuumba Mtu kutoka vumbi na akampa uhai kwa kumpulizia pumzi yake mwenyewe (Mwanzo 2:07). Binadamu ni kiumbe cha kipekee ambacho Mungu alikiumba na baada ya kukiumba, akatumia pumzi yake kukipa uhai, zaidi ya hapo, binadamu ni kiumbe pekee chenye Mwili, Roho na Nafsi.

Kuwa "mfano" wa Mungu maana yake, katika suala rahisi ni kwamba sisi hatufanani na Mungu katika maa…

ALLAH NA MUHAM-MAD WARUHUSU UMALAYA KWA KUPITIA NDOA YA MUT’AH

Je, umalaya umeruhusiwa katika Uislam?
Somo la leo ni la Umalaya kama lilivyo pewa kipaumbele na mungu wa Uislam ajulikanaye kwa jina la Allah. Uislam unaruhusu Umalaya kwa kutumia sheria ya Mut'ah.
Mut'ah ni ndoa AMBAYO inaweza kudumu kwa muda mfupi sana. Ndoa Hii haihitaji mashahidi, na haina kipindi cha 'iddah. Fidia ya kima cha chini ambayo inaweza kulipwa kwa mwanamke kwa ajili ya mahusiano ya kingono ni dirham moja (yaani, chini ya dola senti 25) ". 29 (Dr Ahmad 'Abdullah Salamah, Mashia Dhana ya Ndoa Muda (Mut'ah)
Katika Mut'ah, HAKUNA TALAKA ; Pale utakapo mlipa huyo hawara kiasi cha fedha na utakapo maliza shida zako za kingono, unakuwa huru na hakuna wajibu, hakuna sheria ya urithi, au mchakato wa talaka. Sheria inayo bakia ni moja tu ambayo inambana mwanamke kwa siku 45 kabla ya kuingia kwenye ndoa nyingine ya Mut’ah, wakati huohuo Mwanaume yeye anaweza kuingia Ndoa nyingine ya Mutah mara moja, hata ikiwa bado ameoa katika Mut'a nyingine. Cha …

NI NANI MWANZILISHI WA MABAYA NA MAZURI?

Koran inakujibu kuwa Allah ndie mwanzilishi wa dhambi!!!!

Somo letu la leo ni kujifunza asili ya Ubaya(dhambi) na Mambo Mema kutoka na imani ya Kiislamu. Koran inakiri kwamba Mambo yote Mabaya na Mema asili yake na au mwanzilishi wake ni Allah. 

Hebu tusome Koran iliyo jaa shaka. Quran 16:93. Na Allah angeli taka, kwa yakini angeli kufanyeni umma mmoja. Lakini anamwachia kupotea anaye mtaka, na anamwongoa amtakaye. Na hakika mtaulizwa kwa yale mliyo kuwa mkiyafanya.

Kitendo cha Allah kuwaongoza watu ili wafanye dhamb, hapo ni kutuonyesha kuwa kumbe mwanzilishi wa dhamb ni Allah wa Islam. Aya inatuambia kuwa ni Allah anaye waongoza watu katika dhamb.

Endelea kusoma Koran

Quran 15:39. Shetani akasema: Oooh Allah! Ilivyo kuwa umenifanya niwe mtenda dhambi, basi nahakikisha nitawazaini hapa duniani na nitawapoteza wote,

Shetani analalamika kwa Allah. Shetani anasema kuwa ni Allah aliye mfanya awe mtenda dhamb. Kumbe Allah wa Uislam ndie mwanzilishi wa dhambi.

Endelea kusoma Koran

Quran 67:2. Amba…

UTATA MKUMBWA NDANI YA KORAN: Nini kitaingia PEPONI: Roho/Nafsi au Mwili au zote mbili?

Somo letu la leo ni la swali kwa Allah ambaye ameshindwa kujieleza, kuwa ni kipi kinaingia Peponi kati ya Roho/Nafsi au Mwili?
Koran inadai kuwa, baada ya ufufuo, ni mwili (baada ya kuungana na roho?) Ambayo inaingia peponi. Haya madai yamewekewa mkazo katika Koran. Angalia mistari ifuatayo 13:05, 17:98-99, 20:55, 34:7, 75:3-4.
Hata hivyo mistari ya 27-30 kwenye Sura 89 ipinga aya zilizo pita kwa kusema kuwa ni nafsi (Nafs) tu ambayo inaingia Peponi!
Quran 17:99. Kwani hawakuona ya kwamba Mwenyezi Mungu aliye umba mbingu na ardhi ni Mwenye kuweza kuumba mfano wao? Na Yeye amewawekea muda usio na shaka yoyote. Lakini madhaalimu hawataki ila ukafiri.
Quran 75:3. Anadhani mtu kuwa Sisi hatutaikusanya mifupa yake?4. Kwani! Sisi tunaweza hata kuziweka sawa sawa ncha za vidole vyake!
Aya hizo hapo juu, zinadai kuwa Nafsi na Mwili vitaungana na kuingia Peponi, hayo ni maneno ya Allah kama alivyo yashusha kupitia Quran yake. Lakini Allah huyohuyo anabadilika na kusema kuwa Nafsi ndio itaingia Pep…

NANI ANAPOTOSHA WATU ILI WAENDE JEHANNAM, ALLAH AU SHETANI?

Ndugu wasomaji. 

Kwa mara nyingine tena, tunaziona sifa za Shetani ndani ya Allah wa dini ya Kiislamu. Adhama ya kuwaongoza watu ili waende Jehannamu ni ya Shetani kama ilivyo semwa kwenye Biblia Takatifu. Lakini nilipo soma Koran kwa makini, nikagundua kuwa kumbe na Allah anayo hii adhama ya kupeleka watu Jehannam. 

Hebu tumsome Allah kwenye kitabu chake alicho kiteremsha kupitia Jibril kwa Wafuasi wake waitwao "WAISLAMU".

Kwanza: Tumsome Shetani anavyo jisifia kuwa yeye ndie anaye poteza watu. Soma:

Quran 4:119-120
119. Na hakika nitawapoteza na nitawatia matamanio, na nitawaamrisha, basi watakata masikio ya wanyama, na nitawaamrisha, basi watabadili aliyo umba Mwenyezi Mungu. Na mwenye kumfanya Shet'ani kuwa ni mlinzi wake badala ya Allah, basi huyo amekhasiri khasara ya dhaahiri. ***

Katika aya ya 119 hapo juu tumesoma kuwa Shetani amesema kiuwazi kabisa kuwa yeye ndie awapotezao watu ili wafuate njia iendayo Motoni.

120. Anawaahidi na anawatia tamaa. Na Shet'ani hawaah…

MUNGU ANASEMA KUWA HAUNA HATIA TENA

Warumi 5:8-9

Tunawezaje kusema kwamba Bwana ametutangazia kuwa" hatuna hatia " ya dhambi zetu? Jambo la kwanza la kuelewa ni kwamba katika kitendo hiki cha kututangazia kuwa hatuna hatia ya dhambi ilikuwa ni kazi ya Mungu Mwenyewe. Sisi kama binadamu hatuna uwezo wowote ule wa kuondoa hata doa dogo la dhambi zetu wenyewe. Ni kwa sababu hii Mungu Baba alimtuma Mwanae Yesu Kristo ulimwenguni.

Biblia inatuambia kuwa, moja ya malipo ya dhambi ni mauti (Rum 6:23), na kwa sababu Mungu alitaka kutuokoa kutoka adhabu hiyo ya mauti, basi, alitutengenezea njia pekee ya wokovu. Alitoa sadaka kamili: Mwana wake, Yesu Kristo (Rum. 5:08 ) ili afe kwa ajili ya dhambi zetu.

Je, hili tendo la upendo lilikamilisha nini? Lilituwezesha sisi kumwendea Mungu kupitia njia iliyo safi na takatifu, Biblia inasema kuwa Yesu Ndie Njia na Kweli na Uzima, Mtu haji kwa Baba ila kupitia Yeye. Usafi wetu ambao unatuwezesha kwende mbele za Mungu, hauna uhusiano na kitu chochote kila ambacho sisi tumefanya, bali…