Posts

Showing posts from October, 2013

SUPPORT MAX SHIMBA MINISTRIES

ALLAH’S LOVE COMPARED TO GOD’S LOVE

Islam’s god demands power over others: Islam means "submission", i.e. submitting to its god and Muhammad’s rule. But the tender love of God, apart from this obedience, is not known in Islam. Below are a number of verses I’ve found on Allah’s love. I list a few more at the end of this article. 2:222 They ask thee concerning women's courses (menses). Say: They are a hurt and a pollution; so keep away from women in their courses and do not approach them until they are clean. But when they have purified themselves ye may approach them in any manner time or place ordained for you by Allah. For Allah loves those who turn to Him constantly and He loves those who keep themselves pure and clean. 3:31 Say: "If ye do love Allah follow me: Allah will love you and forgive you your sins for Allah is Oft-Forgiving Most Merciful." 3:134 Those who spend (freely) whether in prosperity or in adversity; who restrain anger and pardon (all) men; for Allah loves those who do good. 3…

God of the Bible is "FATHER", In Contrast, Allah of Koran is Not "FATHER"

SCRIPTURES THAT SHOW THAT GOD IS A FATHER Let’s take a look at the groundwork that Judaism and Christianity lay regarding God as Father. The God of the Bible is indeed a Father to His people. From both the Old and New Testament Scriptures we see God revealing and describing Himself as a Father. Here are some examples taken from the New International Version. [5] 1) Deut. 32:6 Is this the way you repay the LORD, O foolish and unwise people? Is he not your Father, your Creator, who made you and formed you? 2) Psalms 2:7 I will proclaim the decree of the LORD : He said to me, "You are my Son; today I have become your Father. 3) Isaiah 63:16 But you are our Father, though Abraham does not know us or Israel acknowledge us; you, O LORD, are our Father, our Redeemer from of old is your name. 4) Matthew 6:9 "This, then, is how you should pray: 'Our Father in heaven, hallowed be your name,'" 5) John 20:17 Jesus said, "Do not hold on to me, for I have not yet returne…

SCRIPTURES THAT SHOW THAT GOD IS A FATHER

Let’s take a look at the groundwork that Judaism and Christianity lay regarding God as Father. The God of the Bible is indeed a Father to His people. From both the Old and New Testament Scriptures we see God revealing and describing Himself as a Father. Here are some examples taken from the New International Version. [5] 1) Deut. 32:6 Is this the way you repay the LORD, O foolish and unwise people? Is he not your Father, your Creator, who made you and formed you? 2) Psalms 2:7 I will proclaim the decree of the LORD : He said to me, "You are my Son; today I have become your Father. 3) Isaiah 63:16 But you are our Father, though Abraham does not know us or Israel acknowledge us; you, O LORD, are our Father, our Redeemer from of old is your name. 4) Matthew 6:9 "This, then, is how you should pray: 'Our Father in heaven, hallowed be your name,'" 5) John 20:17 Jesus said, "Do not hold on to me, for I have not yet returned to the Father. Go instead to my brother…

YESU NDIE NJIA NA KWELI NA UZIMA. Kumbe Dini sio Njia

Katika Biblia tunasoma kuwa Yesu anasema yeye ndie "KWELI" na anaendelea kusema kuwa KWELI ndiyo itakuweka HURU. Hebu rejea kwenye hii aya:

Yohana 14:6 Yesu akawaambia, “Mimi ndiye Njia na Kweli na Uzima; mtu hawezi kufika kwa Baba bila kupitia kwangu.

Kufuatana na aya hapo juu, Mtu yeyote yule hawezi kwenda kwa Baba na/au Mbiguni bila ya kupitia "KWELI" ambayo ni YESU. Kumbe basi dini haiwezi kukupeleka popote pale. Kumbe, NJIA PEKEE ya Uzima wa Milele ni YESU na SI DINI.

Kumfahamu Yesu ambaye ni KWELI kutakufanya umwelewe Mungu wa UKWELI!! Kumbe basi, Yesu ndie mwenye uwezo wa kukufanya uelewe KWELI ya Mungu.

Yohana 8:31-32 Kwa hiyo Yesu akawaambia wale waliomwamini, “Kama mkiendelea kutii maneno yangu mtakuwa wanafunzi wangu halisi. 32 Mtaelewa yaliyo kweli kumhusu Mungu na ukweli huu utawafanya muwe watu huru.

Kufuatana na aya hapo juu, inatuhakikishia kuwa mafundisho ya YESU PEKEE ndiyo yatakufanya uelewe KWELI na kumfahamu Mungu wa KWELI. Zaidi ya hapo, kuwa Mwana…

Accounts of People Raised from the Dead

1. Elijah raised the son of the Zarephath widow from the dead (1 Kings 17:17-22).2. Elisha raised the son of the Shunammite woman from the dead (2 Kings 4:32-35). 3. A man was raised from the dead when his body touched Elisha’s bones (2 Kings 13:20, 21). 4. Many saints rose from the dead at the resurrection of Jesus (Matt. 27:50-53). 5. Jesus rose from the dead (Matt. 28:5-8Mark 16:6Luke 24:5, 6). 6. Jesus raised the son of the widow of Nain from the dead (Luke 7:11-15). 7. Jesus raised the daughter of Jairus from the dead (Luke 8:41, 42, 49-55). 8. Jesus raised Lazarus from the dead (John 11:1-44). 9. Peter raised Dorcas from the dead (Acts 9:36-41). 10. Eutychus was raised from the dead by Paul (Acts 20:9, 10).

UKRISTO NI NINI?

Leo nitajibu hoja ya, Je, Ukristo ni DINI AU NI NINI?

Neno Ukristo ni tegemezi ya kutoka kwa Jina "KRISTO". Hivyobasi, Mkristo ni mfuasi wa Kristo. Ni kama unavyoweza sema Mtanzania anatoka Tanzania na/ua neno Mtanzania ni tegemezi kutoka Tanzania.

Ukristo ni imani maalum kulinganisha na nyinginezo, Kwa sababu inasimamia zaidi ushirika na Mungu kuliko matendo ya kidini. Kinyume na kushikilia orodha ya masharti ya fanya haya na usifanye yale, Lengo la mkristo ni kutafuta ushirika wa karibu na Mungu Baba kupitia Mwana ambaye ni Yesu. Ushirika huo unawezeshwa na kazi aliyoifanya Yesu pamoja na huduma ndani ya maisha ya mkristo ya Roho Mtakatifu.

Wakristo huamini ya kuwa Biblia ni Neno la Mungu na mafundisho yake ndiyo mamlaka ya mwisho (Timotheo wa pili 3:16, Petro wa pili 1: 20-21). Wakristo huamini juu ya Mungu mmoja akaaye katika utatu, Baba na Mwana (Yesu kristo), na Roho Mtakatifu.

Kwa hivyo, huku dini nyingine zikitaka waumini wao watende mambo Fulani Fulani au wasitende mamb…

YESU ANASEMA: MSIDHANI NALIKUJA KULETA AMANI DUNIANI, LAAA! BALI UPANGA!

Leo nitajibu haya madai ya Upanga.
Waumini wa dini ya Kiislam katika Mihadhara mbalimbali ya kidini wamekuwa na tabia ya kutumia aya YA UPANGA iliyopo katika Mathayo 10: 34 inayo sema ''MSIDHANI NALIKUJA KULETA AMANI DUNIANI, LAAA! BALI UPANGA! Waislam wanadai kuwa, katika aya hii, Yesu alikuja kuleta UPANGA na si Habari Njema kama tufundishavyo sisi Wakristo.
Kwa kuwa Waislam kazi yao ni kutoa kashfa na kuutukana Ukristo, wahadhiri hao wa Dini ya Uislamu hufundisha jamii kwa kutumia Qurani na Biblia na kusema kuwa eti Yesu alikuja kuleta UPANGA  na Hivyo Basi Ukristo ni dini ya UPANGA. Fundisho hili la "MSIDHANI NALIKUJA KULETA AMANI DUNIANI, LAAA! BALI UPANGA! " wanalieneza kwa kupitia Mitandao mbalimbali kama ya  Radio, Vijarida, Mihadhara, vitabu na Kanda (cassettes) za Video na Audio. Na hivyo kuwafanya baadhi ya Wakristo kuingiwa na wasiwasi kutokana na jinsi hawa Wahadhiri wa Dini ya Uislamu wanavyo toa kashfa chafu kwa Yesu Kristo ambaye ni Masiah. Na baadhi ya…

KWA NINI WAKRISTO HAWAUTAKI UISLAMU?

Waislamu wamekuwa mahodari sana kutushawishi Wakisto tuufuate uislamu, wakidai kuwa ndiyo imani sahihi, wapo baadhi ya Wakristo walioamua kuufuata uislamu, kwa sababu ya kazi, kuoa, kudangaywa, na wengine wameingia kwenye uislamu kwa kuwa hawaujui vizuri, sasa sisi ambao tumeusoma Uislamu, tumezinduka tunagoma kuingia kwenye uislamu kwa sababu hizi zifuatazo.

(1) SHETANI NI MUSLAMU

Ni bahati mbaya kwamba Adamu Hawa hawakufanikiwa kufanya jitihada za kumwezesha shetani na wanae kuuomba msamaha kwa mwenyezi Mungu na kuwa Waislamu, ni mtume Muhammad tu ndiye aliyemsilimisha shetani akawa muislamu… (KITABU CHA ASILI YA MAJINI UK 20)

Sasa Ikiwa shetani ni muislamu, na sisi tunajua kuwa shetani yeye ndiye adui yetu namba moja ambaye sisi hatupaswi kushirikiana nae, 

Yakobo 4:7 Basi mtiini Mungu. Mpingeni shetani, nae atawakimbia.

Sasa iweje tena tumfuate shetani katika uislamu? Kwa kuwa shetani ambaye aliwadanganya Adamu na Hawa ni muislamu,sisi Wakristo tunaojitambua hatuutaki Uislamu.

(2) UKIWA…

Jesus Loves You

Image

Yesu Kristo ameumba mbingu, nchi, watu, na ulimwengu wote.

Biblia Takatifu inatuambia kwamba: “...tuliumbwa katika Kristo Yesu...” (Waefeso 2:10) Ni jambo lililo wazi kabisa kuwa sisi wanadamu wote pamoja na viumbe vyote ni kazi ya mikono ya Yesu. Yesu ameumba vitu vyote; tendo la mtu kuukana Uungu wa Yesu ni jambo la kumkosea heshima Mungu aliyekuumba. Ndio maana Yesu aliwaambia Wayahudi kwamba: “...ninyi mwanivunjia heshima Yangu...” (Yohana 8:49). Tusomapo Biblia Takatifu katika kitabu cha YOHANA sura ya kwanza, tunaona pameandikwa:
“Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Nenoalikuwako kwaMungu, naye Neno alikuwa Mungu... Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo Yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika... Naye Nenoalifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu Wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.” (Yohana 1:1,3,14)  
Huyo “Neno” anayetajwa hapo ndiye Yesu Kristo. Mwandishi wa kitabu hicho cha YOHANA ametumia usemi wa: “...Neno alikuwako kwa Mungu...” akiwa anawafahamisha hususani Wayahudi waliokuwa wana…

Yesu Kristo Ndiye anayekuja kuuhukumu ulimwengu wote siku ya kiyama

Jambo hili si mzaha wala uzushi bali ni kweli; Yesu Kristo anakuja kuhukumu ulimwengu wote. Yesu Kristo ametutamkia kwa kiywa Chake kwa kusema kwamba; “Tena Baba hamhukumu mtu ye yote, bali amempa Mwana hukumu yote; ili watu wote wamheshimu Mwana kama vile wanavyomheshimu Baba.” (Yohana 5:22,23) Katika hukumu siku ya kiyama hatutegemei kumwonaYEHOVA akija kuhukumu ulimwengu, bali, Yesu Kristo ndiye ajaye kuhukumu ulimwengu. Hii itakuwa hivyo ili WATU WOTE WAMHESHIMU Yesu sawa sawa na jinsi ambavyo wanamheshimu YEHOVA. Hapo ndipo viumbe vyote watathibitisha kuwa Yesu ni Mungu. Biblia Takatifu inasema kwamba: “...kwa jina la Yesukila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi; kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA...” (Wafilipi 2:10,11) Hakika Yesu ni Mungu. Najua hapa huwachanganya baadhi ya watu hata wanaweza kuhoji;
Je! Wapo Miungu wangapi? Kwa maana tunasikia habari za Mungu Baba, Mungu Mwana, na Mungu Roho Mtakatifu? Inawezekanaje tuseme Yupo Mungu …

Yesu Kristo anayo amri na mamlaka ya kusamehe dhambi

Kuna jambo lililowahi kutokea hadi likawashangaza watu; hebu fatilia kisa hiki. Biblia Takatifu inasema kwamba:
“Wakaja watu wakimleta mtu mwenye kupooza, anachukuliwa na watu wanne. Na walipokuwa hawawezi kumkaribia (Yesu) kwa sababu ya makutano, waliitoboa dari pale alipokuwapo; na wakiisha kuivunja wakalitelemsha godoro alilolilalia yule mwenye kupooza. Naye Yesu, alipoiona imani yao, akamwambia yule mwenye kupooza,Mwanangu, umesamehewa dhambi zako.Na baadhi ya waandishi waliokuwako huko, wameketi, wakifikiri mioyoni mwao, Mbona huyu anasema hivi? Anakufuru. Ni nani awezaye kusamehe dhambi isipokuwa mmoja, ndiye Mungu?
Mara Yesu akafahamu rohoni mwake kwamba wanafikiri hivyo nafsini mwao, akawaambia, Mbona mnafikiri hivi mioyoni mwenu? Vyepesi ni vipi, kumwambia mwenye kupooza, Umesamehewa dhambi zako, au kusema, Ondoka, ujitwike godoro lako, uende?
Lakini mpate kujua ya kwamba Mwana wa Adamu anayo amri duniani ya kusamehe dhambi – Akamwambia yule mwenye kupooza, Nakuambia, Ondoka, ujit…

Yesu Kristo hajaumbwa bali alikuwepo tangu milele yote

Ni kweli kabisa kwamba Yesu alikuwepo tangu milele yote kabla ya kuumbwa kitu cho chote kile. Bwana Yesu kwa kauli ya kinywa chake mwenyewe anasema kwamba: “Na sasa, Baba, unitukuze Mimi pamoja Nawe, kwa utukufu ule Mimi niliokuwa nao pamoja Nawe kabla ya ulimwengu kuwako.” (Yohana 17:5) Neno “UTUKUFU” maana yake ni heshima, uweza, uzuri, umaarufu, nguvu, sifa na mamlaka. Mambo hayo yote Yesu alikuwa nayo kabla hata ulimwengu haujaumbwa. Yesu Kristo alikuwapo hata kabla ya kuzaliwa na Mariamu; jambo hili pia Yesu Kristo kwa kinywa Chake Yeye mwenyewe ametuthibitishia alipokuwa akiwaambia Wayahudi kwamba:
“Yeye aliye wa Mungu huyasikia maneno ya Mungu; hivyo ninyi hamsikii kwa sababu ninyi si wa Mungu.
Wayahudi wakajibu, wakamwambia, Je! Sisi hatusemi vema ya kwamba wewe u Msamaria, nawe una pepo?
Yesu akajibu,Mimi sina pepo; lakiniMimi namheshimu Baba yangu, na ninyi mwanivunjia heshima Yangu. Wala mimi siutafuti utukufu Wangu; Yuko mwenye kutafuta na kuhukumu. Amin, amin, nawaambia, Mtu a…

The Name of God in the Bible and the Quran

Part Two: The Name of Allah
We have already presented proof that God’s name in the Bible is YHWH. We must now look at what the Quran calls the name of its god. After doing this, we shall see the implication of this on the relationship between the picture of God found in the Bible and the picture of God in the Quran.
What is the name of God in the Quran? Some passages give us an indication (quotations will be from Pickthall’s version):
Surah 1.1 (and before every Surah except #9)
In the name of Allah, the Beneficent, the Merciful.
Surah 11.41
And he said: Embark therein! In the name of Allah be its course and its mooring. Lo! my Lord is Forgiving, Merciful.
Surah 12.66
He said: I will not send him with you till ye give me an undertaking in the name of Allah that ye will bring him back to me, unless ye are surrounded. And when they gave him their undertaking he said: Allah is the Warden over what we say.
Surah 12.80
So, When they despaired of (moving) him, they conferred together apart. The…

THOUSANDS OF ARABS SHOUT JESUS **MUST WATCH**

THE BIBLE AND THE QURAN

Proof Quran copied the Jewish Talmud - Allah swears by lesser things in ...

MUNGU NDIYE MWEMA. JE, YESU NI MWEMA?

Leo nitajibu HOJA ya Waislam ya Mungu Ndiye Mwema.
Waumini wa dini ya Kiislam katika Mihadhara mbalimbali ya kidni wamekuwa na tabia ya kutumia aya 18-19 iliyopo katika Luka Sura ya 18, inayo sema Mungu Ndiye Mwema. Waislam wanadai kuwa, katika aya hii, Yesu amekana kuwa yeye si "MWEMA" na kuwa Mungu Pekee ni Mwema, hivyobasi, kukana kwa Yesu kuwa yeye si Mwema kunapinga Madai ya Wakristo kuwa Yesu ni Mungu.
Kwa hivyo utaona kuwa wahadhiri hao wa Dini ya Uislamu hufundisha jamii kwa kutumia Qurani na Biblia na kusema kuwa eti Yesu amekana kuwa yeye si MWEMA. Fundisho hili  la "MUNGU PEKEE NDIYE MWEMA" wanalieneza kwa kupitia Mitandao mbalimbali kama ya  Radio, Vijarida, Mihadhara, vitabu na Kanda (cassettes) za Video na Audio. Na hivyo kuwafanya baadhi ya Wakristo kuacha Imani yao na kuingia katika Dini ya Uislamu. Na baadhi ya Wakristo wengine ingawa hawajabadili dini wanaamini hivyo. Swali la muhimu la kujiuliza kwa kila Mkristo, je, ni kweli Yesu alikana kuwa yeye…

JE MUNGU WA WAISLAMU (ALLAH S.W) NA MUNGU WA WAKRISTO (YEHOVA) NI MMOJA?

UTANGULIZI

Imekuwa ni kawaida sasa kwa miaka zaidi ya ishirini hivi, kusikia katika mihadhara inayoendeshwa na wahadhiri wa dini ya Uislamu, ambayo imeenea sehemu mbalimbali Duniani na haswa katika nchi za Africa Mashariki na Kati,(East and Central Africa). Wahadhiri hao hufundisha jamii kupitia Qurani na Biblia kwa kusema kuwa Mungu ni Mmoja tu. Wasema Mungu kwa Kiebrania anaitwa Yehova , kwa Kiarabu Allah, kwa Kiingereza God na kwa Kiswahili ni Mungu. Kwa hivyo wasema Mungu Allah kama Qurani inavyofundisha, ndiye Yehova kama Biblia inavyofundisha. Mihadhara hiyo inayoendeshwa na Waislamu imeenea sana, mfano Nchini Tanzania kuna vikundi vingi na kimoja wapo kinaitwa Al-Marid International Propagation Center. Hawa wameandika katika bango lao kwa kunukuu katika Biblia maneno aliyoandika Mtume Paulo katika Waefeso 4:4-6. Maneno waliyoyanukuu yanasema hivi “Bwana mmoja , Imani moja ….., Mungu mmoja , naye ni Baba wa wote, aliye juu ya yote. Nilipotembelea mkoa wa Morogoro pale mjini, eneo…