Posts

Showing posts from April, 2013

SUPPORT MAX SHIMBA MINISTRIES

Kujichua – je, ni dhambi kulengana na Biblia?

Biblia haitaji kujichua wala kwamba kujichua ni dhambi. Hakuna swali juu ya kuwa kitendo kinachoelekeza mtu katika kujichua ni dhambi pia. Kujichua ni kitendo cha mwisho katika kuwasilisha ujumbe wa tamaa mbaya, inayotokana na msisimko wa hisia za ngono ama kutazama kanda za video za ngono. Haya ndiyo matatizo ambayo ni tuyatatue. Ikiwa dhambi ya tamaa na kuangalia picha za ngono itaachwa na kushindwa –shida ya kujichua itaisha.
Biblia inatuagiza kuepuka hata hali ya kutazama matendo machafu ya ngono (waefeso 5:3). Sioni kuwa kujichua kutashinda mtihani huu. Mara nyingi kitu ambacho unaaibika nacho huwa ni dhambi. Na hata hivyo kwa kuwa hatuwezi kumuomba Mungu akibariki kitendo cha kujichua ili akitumie kwa wema wa jina lake inaonyesha wazi kwamba ni dhambi. Hatuwezi kujisikia tumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kufanya kitendo hicho cha kujichua.
Biblia inatufundisha, “kwa hivyo mkila au mkinywa chochote mkifanyacho, kifanyeni kwa utukufu wa Mungu” (wakorintho wa kwanza 10:31). Kama hak…

Biblia inasema je ju ya chale/ kujitoboa mwili?

Agano la kale liliwaamuru waIsraeli, “Msiikate miili yenu kwa ajili ya wafu wala kuchanja chale juu ya ngozi za miili yenu.Mimi ni Bwana” (mambo ya walawi 19:28). Hata hivyo ijapokuwa waumini kwa sasa hawako chini ya sheria ya agano la kale (warumi 10:4; wagalatia 3:23 – 25; waefeso 2:15), hoja ya kuwa kulikuwa na sheria juu ya chale lazima lituletee maswaliagano jipya haisemi lolote juu ya muumini achanjwe chale au asichanjwe.
Kulengana na swala la chale na kujikata alama mwilini, mtazamo wetu ni uwe; je, twaweza kumuomba Mungu atumie alama hizo kwa utukufu wake? “kwa hivyo mnapokula, mnapokunywa, chochote mfanyacho, kifanyeni kwa utukufu wa Mungu” (wakorintho wa kwanza 10:31). Biblia haituamuru kinyume cha chale na alama za mwili lakini pia haituonyeshi ya kuwa ana haja na alama hizo miilini mwetu.
Jambo lengine ni nidhamu. Biblia inatushauri kuvaa mavazi yetu kwa nidhamu (Timotheo wa kwanza 2:9). Kuvaa ki nidhamu ni kuziba sehemu zote zilizotarajiwa kuzibwa na mavazi. Lengo la nidha…

Mkristo ni mtu gani?

Kwa tafsiri kutoka kamusi ya Webster Mkristo ni “mtu mwenye kukiri imani ndani ya Yesu kama Kristo au Imani yenye msingi wa mafundisho na ufunuo wa Yesu.” Ijapokuwa huu ni mwanzo mwema wa kufahamu Mkristo ni mtu gani, kama maelezo mengi ya kidunia yalivyo, inapungukiwa na uhalisi wa kibiblia juu ya Maana kamili ya Ukristo au Mkristo. 

Neno Mkristo limetumika mara tatu katika agano jipya (Matendo 11:26; Matendo 26:28; Petero Wa Kwanza 4:16). Wafuasi wa Yesu Kristo waliitwa kwa mara ya kwanza “Wakristo” antiokia (Matendo 11:26) kwa sababu tabia zao, matendo yao na hotuba zao zilikuwa kama za Kristo. Ilitumika kiasili na watu wasiookoka wa Antiokia kama jina la kimajazi kuwadhihaki wakristo hao. Ina maana sawa na “Kuwa mmoja wa kundi la kristo” au “mfuasi wa Kristo,” ambayo imefanana na tafsiri ya Neno hili katika kamusi ya Webster.
Kwa bahati mbaya, neno Mkristo limepoteza kwa kiwango kikubwa usawa wa matumizi yake na Linatumika mara kwa mara kumaanisha tu mtu mwenye dini au pengine mua…

Je ni nini kitawapata watu wale hawajawai pata nafasi ya kusikia kuhusu Yesu?

Je ni nini kitawapata watu wale hawajawai pata nafasi ya kusikia kuhusu Yesu? Je Mungu atawahukumu wale ambao hajawai sikia kuhusu Yesu?"
Jibu: Watu wote wamewajibika kwa Mungu hata kama wamesikia au hawaja “sikia kumhusu” Bibilia yatwambia wazi wazi kuwa Mungu anajidhihirisha mwenyewe kwa uungu (Warumi 1:20) na katika Roho za watu (Mhubiri 3:11). Shida ni kwamba ni uzao wa dhambi wa mwanadamu. Zote twakataa hii hekima ya Mungu na kuasi (Warumi 1:21-23). Kama isingekuwa ni neema ya Mungu, tungejitolea kwa mioyo ya dhambi, kujiruhusu kujigundulia vile maisha ni bure, yakustaajabisha ni sehemu kando naye Mungu. Anafanya haya kwa wale wanaoendelea kumkataa (Warumi 1:24-32).
Ukweli ni, si eti watu wengine hawajasikia juu ya Mungu. Badala, shida ni wamaekataa chenye wamesikia na chenye kinaonekana katika uumbaji. Kumbukumbu La Torati 4:29 yasema, “Lakini huko, kama mkimtatufa BWANA, Mungu wako, utampata, ukimtafuta kwa moyo wako wote, na roho yako yote.” Aya hii yatufunza nguzo muimu.…

Mpango Wa Wokovu ni nini?

Una njaa? Si njaa ya chakula, lakini je, una njaa ya kitu Fulani zaidi maishani? Je, kuna hali Fulani ya kutotosheka ndani yako? Ikiwa iko basi Yesu ndiye njia! Yesu alisema, “Mimi ndimi mkate wa kweli. Kila ajaye kwangu hatahisi njaa na aniaminiye hataona kiu” (Yohana 6:35).
Je, umechanganyikiwa? Je, huoni mbele ya maishani mwako? Je, unajihisi kama umeachwa kwenye giza na huoni pa kutokea? Ikiwa hali yako ni kama hiyo basi Yesu ndiye njia! Yesu alisema, “Mimi ndimi nuru ya ulimwengu. Anifuataye hatatembea gizani, bali atakuwa na nuru ya uzima” (Yohana 8:12).
Je, unajisikia kama umefungiwa nje ya maisha yako? Je, umejaribu njia nyingi na kutambua ya kwamba kile ulichokitarajia hakipo ndani yake? Je, unatafuta njia ya kufikia maisha makamilifu? Ikiwa haya ndiyo uyatafutayo, Yesu ndiye njia! Yesu alisema, “Mimi ndimi mlango wa kondoo; aingiaye kupitia mimi ataokolewa. Ataingia na kutoka na kupata malisho” (Yohana 10:9).
Je, watu wengine husababisha kushindwa kwako? Je, uhusiano wako nao…

Je, Biblia inasema nini juu ya Ushoga? Je, Ushoga ni dhambi?

Biblia inasisitiza kila mara kwamba ushoga ni dhambi (mwanzo 19:1-13; mambo ya walawi 18: 22; warumi 1:26-27; wakorintho wa kwanza 6:9). Warumi 1:26-27 inatufundisha ya kwamba ushoga ni njia mojawapo ya kumkana na kutomtii Mungu. Mtu anapodumu katika dhambi na kutokuamini biblia inatuambia ya kwamba “Mungu huwaachilia” kutenda maovu zaidi ili wapate kujua ubatili wa maisha bila Uwepo wa Mungu. Wakorintho wa kwanza 6:9 inasema kuwa mashoga hawataurithi ufalme wa Mungu.
Mungu haumbi mwanadamu mwenye tamaa ya ushoga. Biblia inatuambia mtu huwa shoga kwa sababu ya dhambi. (warumi 1:24-27), na pia kwa sababu ya uamuzi wake mwenyewe. Mtu anaweza kuzaliwa na msukumo juu ya ushoga kama vile watu pia huzaliwa na msukumo juu ya fujo na dhambi nyinginezo. Hili halihalalishi dhambi yoyote inayofanywa na wanadamu. Je, mtu akizaliwa na msukumo wa hasira mbaya, ni halali aendeleze hasira zake mbaya? La, hasha. Hata kwa ushoga pia si halali.
Hata hivyo Biblia haiitaji dhambi ya ushoga kuwa ndiyo kubwa …

Biblia inasema nini juu ya kushirikiana katika ngono kabla kuoana?

Pamoja na matendo mengine ya uchafu, kufanya kitendo cha mapenzi kabla kuoana kumekatazwa katika maandiko (matendo 15:20; warumi 1:29; wakorintho wa kwanza 5:1; 6:13, 7:2; 10;8; wakorintho wa pili 12:21; wagalatia 5:19; waefeso 5:3; wakolosai 3:5; wathesalonike 4:3; yuda7). Biblia inasisitiza kuepuka kitendo hicho kabla ya ndoa.hii ina maana ya kuwa ni dhambi kama ya uzinifu kwa kuwa hujaunganishwa na unayefanya naye kitendo hicho. Mapenzi baina ya mume na mke waliooana ndiyo mapenzi yanayokubalika mbele za Mungu (waebrania 13:4).
Kushirikiana katika ngono kabla ndoa kumeenea sana kwa sababu nyingi. Mapenzi yanastarehesha. Mungu aliyaumba hivyo. Anawataka wanaume na wanawake wafurahie kitendo cha ngono (ndani ya ndoa). Hata hivyo, lengo la msingi la ngono si starehe bali kuzaana tukaongezeke. Hivyo tunazuiwa kufanya kitendo cha ngono kabla ndoa ili tusijipatie watoto tusiowatarajia. Kama jambo hili lingezingatiwa, magonjwa ya zinaa na wamama wasioolewa na kuavya mimba na kadhalika kung…

Biblia inasema nini juu ya kunywa kileo? Je, ni dhambi kwa mkristo kunywa kileo?

Maandiko yana ilani nyingi juu ya kunywa kileo (mambo ya walawi 10:9; hesabu6:3; kumbukumbu la torati 29:6; waamuzi 13:4,7,14; samueli wa kwanza 1:15; methali 20:1; 31:4,6; isaya 5:11;22; 24:9; 28:7; 29:9; 56:12; mika 2:11; luka 1:15). Maandiko hayakatazi mkristo kunywa pombe, divai wala kinywaji chochote chenye kileo ndani. Maana maandiko mengine huzungumzia kileo kwa kuhalalisha matumizi yake. Mhubiri 9:7 inaamuru, “ kunywa kileo na moyo mkunjufu.” Zaburi 104:14-15 inaeleza Mungu hutoa divai “ inayofurahisha mioyo ya wanadamu.” Amosi 9:14 inazungumzia juu ya kunywa divai kutoka kwa shamba lako kama alama ya baraka za Mungu. Isaya 55;11 inapongeza “ naam, njoo ununue divai na maziwa…”
Kile Mungu anachowaamuru wakristo juu ya kileo ni wajizuie na ulevi (waefeso 5:18). Biblia inakataza ulevi na athari zake (methali 23:29-35). Wakristo wanakatazwa kuachilia miili yao itawalwe na vitu vinginevyo. (wakorintho wa kwanza 6:12; petro wa pili 2:19). Kunywa kileo kingi kunaathiri mtu. Maandiko…

Je! Mkristo anaweza pagagwa na Mapepo?

Bibilia kwa ukamilifu haitaji kama Mkristo anaweza shikwa na pepo. Ingagwa, kwa vile Mkristo amejazwa na Roho Mtakatifu (Warumi 8:9-11; 1 Wakorintho 3:16; 6:19), inaweza ooneka kinyume kwamba Roho Mtakatifu anaweza kumuruhus pepo kushika mtu ambaye Roho Mtakatifu anakaa ndani yake. Hii mara nyingine ni jambo la kutatanisha; ingawa, tunaamini sana kuwa Mkristo hawezi shikwa na pepo. Tunaamini kuwa kuna tofauti kubwa kati ya kushikwa na pepo na kukandamizwa na pepo au kushawishika na pepo. Kupagagwa na pepo yahuzisha,pepo kuwa na uhusika wa Karibu au kuongoza mawazo yako/mafikirio yako/matendo ya mtu (Luka 4:33-35; 8:27-33; Mathayo 17:14-18). Kukandamizwa na pepo au kushawishiwa na pepo inahuzisha pepo kumkabili mtu kiroho na kumtia moyo kwa matendo ya dhambi (1 Petero 5:8-0; Yakobo 4:7). Tambua kwamba kurasa zote za Agano Jipya zashugulikia vita vya kiroho, kamwe hatwambiwi kutoa pepo kutoka kwa mkristo (Waefeso 6:10-18). Wakristo wameambiwa kumtoroka shetani (1 Petero 5:8-9; Yakobo 4:…

Ubatizo wa Rohoho Mtakatifu ni nini?

Ubatizo wa Roho mtakatifu unaweza kufafanuliwa/kuelezwa kuwa ile kazi ambayo Roho Mtakatifu wa Mungu unamweka muumini kuwa na ushirika na Kristo na kwa ushirika na waumini wengine katika mwili wa Kristo wakati wa kuokolewa. Wakorintho wa kwanza 12:12-13 ni ukurasa wa katikati katika Bibilia kuhusu ubatizo wa Roho Mtakatifu, “Kwa maana katika Roho mmoja sisi sote tulibatizwa kuwa mwili mmoja, kwamba tu Wayahudi, au kwamba tu Wayunani; ikiwa tu watumwa au tu huru; nasi sote tulinyweshwa Roho mmoja.” (1Wakorintho 12:13). Bali Warumi 6:1-4 haitaji roho wa Mungu, bali yaelezea sehemu ya wakristo mbele za Mungu kwa lugha sawa na ile ya ujumbe wa kwanza Wakorintho: “Tusema nini basi? Tudumu kaitka dhambi ili neema izidi kuwa nyingi? Hasha! Sisi tulioifia dhambi tutaishije tena katika dhambi? Hamfahamu ya kuwa sisi sote tuliobatizwa katika Kristo Yesu tulibatizwa katika mauti yake? Basi tulizikwa pamoja kwa njia ya ubatizo katika mauti yake, kusudi kama Kristo alivyofufuka katika wafu kwa nji…

Nawezaje kujazwa na Roho Mtakatifu?

Kifungu cha maana katika kuelewa juu ya kujazwa na Roho Mtakatifu in Yohana 14:16, mahali ampapo Yesu anaahidi kukaa kwa Roho Mtakatifu kwa wakristo, na huyo atadumu si kwa muda. Ni kitu cha maana kutofautisha kati ya kukaa kwa Roho Mtakatifu na kujazwa na Roho Mtakatifu. Kudumu kwa Roho Mtakatifu aupo kwa baadhi ya wakristo, bali ni kwa Wakristo wote. Kuna sehemu nyingi katika Bibilia zinazo pongeza huu msimamo wetu. Kwanza, Roho Mtakatifu ni zawadi iliyopewa Wakristo wote katika Kristo Yesu bila kupagua, na hakuna sheria za kutimiza ila tu ni kuwa na imani katika Kristo Yesu (Yohona 7:37-39). Pili, Roho Mtakatifu unapokewa wakati wa kuokoka (Waefeso 1:13). Wagalatia 3:2 inasisitiza ukweli huu pia, kwa kusema kwamba kutiwa muhuri na kujazwa na Roho Mtakatifu ulitokea wakati wa kuokoka. Tatu, Roho Mtakatifu unakaa kwa Wakristo milele. Wakristo wamepewa Roho Mtakatifu kama mtaji ama tibitisho la utukufu wao katika siku zijazo katika Kristo (2 Wakorintho 1:22; Waefeso 4:30).
Hili ni ling…

Yamaaninisha nini kumkufuru Roho Mtakatifu?

Wazo la “kumkufuru Roho” limetajwa katika Mariko 3:22-30 na katika Mathayo 12:22-32. neno kufuru linaweza kuelezwa kwa ujumla kama, “tabia iliyo kando”. Hilo neno laweza kutumika kwa dhambi kama zile za kumlaani Mungu au kwa makusudi ya kutotambua mambo yanohusiana na Mungu. Pia ni kumhuzisha Mungu na dhambi, ama kukana yale mazuri tunayostahili kumhusisha nayo. Hii hatia ya kukufuru ingawa ni pekee inaitwa “kukufuru Roho Mtakatifu” katika Mathayo 12:31. katika Mathayo 12:1-32, Wafarisayo baada ya kushuhudia matendo makuu yasiyopingika ya Yesu alikuwa akitenda miujiza kwa nguvu za Roho Mtakatifu, na wakadai kuwa alikuwa amepagagwa na pepo “Beelzebuli” (Mathayo 12:24) unaweza gundua kwamba katika Mariko 3:30 Yesu analengo kuhusu kwa kile ambacho hawakukifanya “kumkufuru Roho Mtakatifu.
Huku kukufuru na kuhusu na mtu kumtusi Yesu Kristo kuwa amepagagwa na mapepo badala ya kujazwa na Roho Mtakatifu. Kwa sababu hiyo kwa matukio haya ya kukufuru Roho Mtakatifu hauwezi kuongezeka hii leo. …

Roho Mtakatifu ni nani?

Kuna utatanishi mwingi juu ya kumtambua Roho Mtakatifu. Wengine humchukulia kama nguvu Fulani zisizoonekana. Wengine huamini kwamba ni uwezo wa Mungu ambao Mungu huuachilia maishani mwa wale ambao ni waumini wa kristo. Je, biblia inasemaje juu ya Roho Mtakatifu? Kwa kifupi biblia inasema kwamba Roho mtakatifu ni Mungu. Pia biblia inasema kuwa Roho mtakatifu ni mtu, mwenye akili, hisia na mapenzi yake.
Swala la kuwa Roho Mtakatifu ni Mungu limo ndani ya aya nyingi za biblia kama vile Matendo 5:3-4. Katika ayah ii petro anapambana na anania aliyemdanganya Roho Mtakatifu na nasisitiza yakuwa “hukumdanya mtu bali Mungu.” Hili ni tangazo la wazi kwamba kumdanganya Roho Mtakatifu ni kumdanganya Mungu. Tunaweza pia kujua Roho Mtakatifu ni Mungu kwa kuwa ana tajwa na hali sawa na za Mungu. Roho Mtakatifu yuko kila mahali katika Zaburi 139:7-8, “nitaenda wapi nijifiche na Roho? ama nitakimbilia wapi mbali na uwepo wako? Nikipanda juu mbinguni, huko uko; nikifanya malazi yangu kuzimu, tazama uko…

Back to Basics: Dealing with demonic dreams

Image
Ugh. While I totally understand the despair, I would like to offer an alternative response: embrace these dreams as the gifts they are. This may seem crazy—but let me tell you a story I just heard which may give you a new perspective. The story  (heard on a Plumbline Ministries video)  goes something like this: a man and his son were driving together. The son looked up and was disturbed to see a number of vultures circling in the sky. “There must be a dead animal somewhere,” he sadly exclaimed. His father wisely pointed out that if the animal were, in fact, dead, then the vultures would have landed. Then the dad asked the child what he thought they could do if they were going to help the wounded animal. The son pondered this, then said, “Well, I guess we wouldn’t want to kill the vultures—because they are our marker for where the wounded animal is.”
Exactly. The demonic is the marker for the wounding. So let me give you a strategy for leveraging demonic harassment in your dreams t…

Bible Verses about Honoring Parents

Image
The New Testament binds a great responsibility on children when it says in Ephesians 6, verses 1-3, "Children obey your parents in the Lord: for this is right. Honor thy father and mother; (which is the first commandment with promise;) that it may be well with thee, and thou mayest live long on the earth". The key words are "honor" and "obey". There is no time limit on this. God does not free a child from this responsibility simply because he has now gone to college or is married. A child in the earliest years of adulthood makes a tragic mistake by neglecting his parents.
It is necessary that we say something about the word "obey". Children are to obey their parents "in the Lord". One must never forget that his allegiance to God comes before any man. That includes government, companions and parents. The early apostles expressed it well when they were commanded not to preach in the name of Christ. They responded by saying in Acts 5, vers…

Comforting Bible Verses

Image
Our God cares about us. No matter what is happening, he never leaves us. Scripture tells us God knows what is going on in our lives and is faithful. As you read these comforting Bible verses, remember that the Lord is good and kind, your ever-present protector in times of need. Comforting Bible VersesDeuteronomy 3:22
Do not be afraid of them; the LORD your God himself will fight for you. (NIV) Deuteronomy 31:8
The LORD himself goes before you and will be with you; he will never leave you nor forsake you. Do not be afraid; do not be discouraged. (NIV) Joshua 1:9
Have I not commanded you? Be strong and courageous. Do not be afraid; do not be discouraged, for the LORD your God will be with you wherever you go. (NIV) Psalm 23:4
Even though I walk through the darkest valley, I will fear no evil, for you are with me; your rod and your staff, they comfort me. (NIV) Psalm 27:1 The LORD is my light and my salvation—whom shall I fear? The LORD is the stronghold of my life—of whom shall I be afraid? (NIV)

Bible Verses About Courage

Image
The Bible is full of people that showed great courage. What does courage look like for your life? Are you needing some strength and courage from God? Check out these great Bible verses about courage.
Strengthin CourageDeuteronomy 31:6“Be strong and of a good courage, fear not, nor be afraid of them: for the LORD thy God, he it is that doth go with thee; he will not fail thee, nor forsake thee.”
Joshua 1:7-9 “Only be thou strong and very courageous, that thou mayest observe to do according to all the law, which Moses my servant commanded thee: turn not from it to the right hand or to the left, that thou mayest prosper withersoever thou goest. This book of the law shall not depart out of thy mouth; but thou shalt meditate therein day and night, that thou mayest observe to do according to all that is written therein: for then thou shalt make thy way prosperous, and then thou shalt have good success. Have not I commanded thee? Be strong and of a good courage; be not afraid, neither be thou …

Bible Verse About Strength

Image
Joshua 1:9 Behold I command thee, take courage, and be strong. Fear not, and be not dismayed: because the Lord thy God is with thee in all things whatsoever thou shalt go to. 1 Chronicles 28:20 And David said to Solomon his son: Act like a man, and take courage, and do: fear not, and be not dismayed: for the Lord my God will be with thee, and will not leave thee, nor forsake thee, till thou hast finished all the work for the service of the house of the Lord. Psalms 18:30-33 As for my God, his way is undefiled: the words of the Lord are fire-tried: he is the protector of all that trust in him. For who is God but the Lord? or who is God but our God? God, who hath girt me with strength; and made my way blameless. Who hath made my feet like the feet of harts: and who setteth me upon high places. 23:4 For though I should walk in the midst of the shadow of death, I will fear no evils, for thou art with me. Thy rod and thy staff, they have comforted me. 27:1-3 The psalm of David before he was ano…

Bible Verses about Forgiveness

Image
I love what the Bible says on forgiveness. Add your own favorite in the comment box. These verses about Forgiveness are selected from the ESV Bible. May God bless you and his Word. Jesus Is Our Model Of ForgivenessLuke 23:33-34 ESV And when they came to the place that is called The Skull, there they crucified him, and the criminals, one on his right and one on his left. (34) And Jesus said, “Father, forgive them, for they know not what they do.” And they cast lots to divide his garments. Jesus Commanded ForgivenessMark 11:25 ESV And whenever you stand praying, forgive, if you have anything against anyone, so that your Father also who is in heaven may forgive you your trespasses.” Matthew 6:14-15 ESV For if you forgive others their trespasses, your heavenly Father will also forgive you, (15) but if you do not forgive others their trespasses, neither will your Father forgive your trespasses. Luke 17:3-4 ESV Pay attention to yourselves! If your brother sins, rebuke him, and if he repents, fo…

Husband and wife

Image
1"Love your wife as Christ loved the Church."(Ephesians 5:25) Risk your life to help or save your wife. Christ's love for the church is without limits, nothing is held back. He gave His life for the church - before you loved Him. His love does not depend on your love for Him. Under God's authority - love your wife as service--as giving your life to God.


2"Love your wife in the same way you love your body and your life."(Ephesians 5:28-33) You care for your body daily to be as well fed and healthy as possible. You quickly take care of any needs or desires. Any sexual desire as a husband should be cared for with your wife. In the same way, care for your wife's needs and well being. Feel your wife's pain and illness and rejoice in her health as if it were your own life. A husband must see his wife's sexual desires and make supreme efforts to meet those needs too. Basically, her need or desire whether financial, physical, emotional or spiritual in yo…

Who is the Father of Jesus?

Is Jesus the son of Allah? The Qur'an says no. Yet it is also entirely consistent with the Qur'an to consider Allah the Father of Jesus for the following reasons:
1) Allah caused Mary to become pregnant with Jesus
2) Allah determined some of the physical characteristics of Jesus
3) All of the genetic characteristics of Jesus were determined by just two parties: Allah and Mary.

A Muslim might argue "Being a father implies having sex", and therfore Allah cannot be the father. Not necessarily so. Modern science has brought us "test tube babies", which are conceived without any sex. There is nothing to support the idea that if Allah wants a baby, he must resort to normal human means to have one.
Again, a Muslim may say that if we are going to call Jesus the son of Allah, then we should say that Adam is the son of Allah too. No, we cannot compare Adam to Jesus this way because Adam came into existence without a mother.
Let us first review some background material. Wha…

The 20 Versions of the Qur'an today. (7 are recorded in the Hadith.)

Image
The 20 Versions of the Qur'an today. (7 are recorded in the Hadith.)
Qur'an of today is different than what Muhammad revealed!
Islam: Truth or Myth? start pageThe Muslim Claim that the Qur'an is unchanged:No other book in the world can match the Qur'an ... The astonishing fact about this book of ALLAH is that it has remained unchanged, even to a dot, over the last fourteen hundred years. ... No variation of text can be found in it. You can check this for yourself by listening to the recitation of Muslims from different parts of the world. (Basic Principles of Islam, Abu Dhabi, UAE: The Zayed Bin Sultan Al Nahayan Charitable & Humanitarian Foundation, 1996, p 4)
Many Variant Readings of the Quran"Muslims attack the Bible on the grounds that it sometimes has conflicting wording from different manuscripts. Yet this is exactly the case with the text of the Quran. There are many conflicting readings on the text of the Quran as Arthur Jeffery has demonstrated in his b…

Authors of the Quran:-

Anyone researching and investigating the origins of the Quran will find that a lot of people were involved in its compilation and construction.
Unknown to the vast majority of Muhammadans, and buried deep inside the Quran,Ahadith and Sirah, there is copious evidence to reject, out of hand, the contention that the Quran is the creation of Allah.
Making Allah the author of the Quran, is the prime and most groteque lie and deception that was ever perpetrated upon the human intellect for more than 1400 years. One can say with a great measure of certainty, that the Quran was either composed or inspired and written by a few other individuals. The most notable among them were:
Imrul Qays-an ancient poet of Arabia who died a few decades before Muhammad's birth
Zayd b. Amr b. Naufal-an 'apostate' of his time who preached and propagated Hanifism
Labid-another poet
Hasan b. Thabit-the official poet of Muhammad
Salman -